Blackberry users - server down

Blackberry users - server down

JS

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Posts
2,064
Reaction score
506
Haya wandugu, wale mnaotumia kifaa hiki cha mawasiliano hususan kwa sie wa BBM ni kwamba tokea asubuhiya leo kumekuwa hakuna mawasiliano ya internet...hii ni kwa sababu server yao imekuwa down lakini wanashughulikia kutatua tatizo hili.

Taarifa zaidi dumbukia humu: Millions of BlackBerry users hit by outage - Yahoo!.
 
Back
Top Bottom