Vuguvugu la kuuvunja Muungano na mipaka ya Bahari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vuguvugu la kuuvunja Muungano na mipaka ya Bahari

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by JS, Jun 3, 2012.

 1. JS

  JS JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wana JF habari zenu....

  Hii ishu ya mipaka ya Tanzania na vuguvugu la Muungano limeniacha nikijiuliza itakuwaje. Mipaka hii nayozungumzia ni Contiguous Zone na Exclusive Economic Zones (EEZ). Kufuatana na Convention of the Law of the Sea ya UN ya 1982, a coastal state can claim up to 24 nautical miles of a contiguous zone from the baseline and 200 nautical miles of an EEZ from the baseline respectively.

  Sasa navyoelewa ni kwamba, since Zanzibar iko chini ya Muungano ina maana kuwa mipaka yetu tumeanza kuihesabia kwenye baseline ya Zanzibar na hata kama ingekuwa ni kisiwa tu ambacho hakikaliwi na watu lakini kipo ndani ya territorial sea yetu (ambayo nayo ni 12 nautical miles from the baseline) bado tungehesabia kuanzia pwani ya Zanzibar.

  What really struck me is what will happen if things come to worse with this Muungano issue? Zanzibar ikifanikiwa kujitoa na kuwa nchi huru ina maana hiyo mipaka lazima ibadilike. Zanzibar itakuwa na uwezo wa ku-claim mipaka yake yenyewe. Ukiangaliia distance ya Pwani ya zanzibar na dar si mbali kwa kweli kwa macho yangu yasiyojua hesabu vizuri lakini yanaona kuwa si mbali.

  Wanasheria naombeni mnidadavulie kwa upeo wenu kuhusu masuala haya ya bahari. inawezekana kwamba labda Tanganyika haita-claim EEZ na contiguous zone kutokana na distance ndogo kati yetu na Zanzibar?? au Tanganyika itaweza kufanya nini ukiangalia zanzibar has the whole sea at its disposal. Inachanganya kwa mtu ambaye si mjuzi wa masuala haya. Nisaidieni tafadhali.
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,200
  Trophy Points: 280
  Singapore inatenganishwa na Malaysia na channel iliyo less than a km, lakini Malaysia haiwezi ku claim 24 contiguous nautical miles.

  If it comes to that (kutengana) itabidi mpaka mpya ukubalike kati ya Tanganyika na Zanzibar, ideally at equidistant points in the sea, na Tanganyika itapoteza haki ya hizo contiguous nautical miles kwa sababu hazitakuwa tena contiguous kukiwa na another sovereign state ya Zanzibar hapo.

  Ona ramani ya Singapore

  https://maps.google.com/maps?oe=utf-8&client=firefox-a&q=map+of+singapore&ie=UTF-8&hq=&hnear=0x31da11238a8b9375:0x887869cf52abf5c4,Singapore&gl=us&ei=q4LKT5KOEcHm0QGKnJCLAQ&oi=geocode_result&ved=0CBMQ8gEwAA
   
Loading...