Katika maisha ya kawaida jamii inakuwa na watu wa kila tabia na tabia ndio zinazoweza kuitambulisha jamii husika
Hivi karibuni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alianzisha kampeni yake yakupambana na wamiliki wa Madangulo katika viunga vya jiji la Dar
Kwa hulka za waungwana ni kweli ukahaba sio...
Baada ya kufunguliwa kwa shule za msingi na secondary wizara ya elimu imetoa muongozo wa kuongeza muda wa masomo katika shule na vyuo mbalimbali nchini
Jambo la kuongeza muda wa kujifunza ni jambo jema kabisa lakini changamoto ni uamuzi huo kutolewa pasina kuzingatia mazingira halisi ya...
Kamanda Saimon Siro hakuwahi kuwa mwinjiristi..
Kamanda Saimon Siro hakuwahi kuwa diwani au mwenyekiti wa Kijiji..
Siro akiwa amezaliwa Katika nyumba yenye maadili ya mungu siku chache katika maisha ya utoto wake alipitia katika mafunzo ya kipaimala kabla ya Kupokea Sakrament iliyotoa nafasi...
Imekuwa ni kawaida katika jamii kuwaona watu ambao hujiita askari shirikishi
Wakifanya kazi yakuwakamata raia katika mitaa ya Dar Es salaam na maeneo mengineyo katika nchi ya Tanzania.
Pamoja na rais wa jamhuri kukemea uwepo wa jesshi hili halamu lakini bado limeendelea kufanya kazi pasina...
Huyu Rais Mgufuli MCL akisoma hii amini Tutawamis kweli jamani
Haya makosa madogo lakini ya effect yake nikubwa kwa mustakbari wa nchi na Tasnia ya uandishi wa habari
Kumbukeni Rais Mgufuli hapendi masikhara katika taaluma anaamini kuwa magazeti ni chombo kinachoweza kuleta faida kubwa...
Kila uchao history umuhukumu mtu mweusi
History humdhalili mtu mweusi
History uwapa watu weupe uungu wakutawala fikra zetu
History hutuumbia Malaika na shetani katika ngozi tofauti tofauti huku ikibaliki utakatifu wa manabii na mitume katika ngozi nyeupe
History inatupokonya Uhuru wetu...
Ni miaka kumi na sita sasa tokea nitengane na baba Kalunde mwanaume niliempenda katika uhai wa maisha yangu
Ugomvi wangu na baba kalunde ni Mimi kuzaa mtoto wa kike mtoto wa kizungu
Baba kalunde hakuwa mzungu wala Mimi sikuwa mzungu jambo ambalo lingewezesha kuzaliwa mtoto wa kizungu...
Hii Tanzania mpya ya ndugu Charles Mwijage
Tanzania inayo pewa sifa kedekede yakujikomboa kutoka nchi Maskini nakuwa nchi ya viwanda na uchumi wa kati
Tanzania ambayo watu wake hawajawa tayari kuwa sehem ya uchumi endelevu
Tanzania ambayo huvithamini vitu vilivyotengenenzwa nje ya Tanzania...
Wananchi wa nchi ya Zimbabwe waliwahi kuandamana mitaani kwa kupanda bei ya `Mkate
Wananchi wa nchi ya Kenya Leo hii watapiga kura ya kumkataa Uhuru Kenyatta kwa kushindwa kudhibiti mfumko wa bei katika bidhaa ya SEMBE
Hapa kwetu nchini Tanzania pamoja nakuwepo kwa Sheria inayo ratibu mazao...
Haikuwa mkoa wa Mara au mkoa wa Shinyanga mikoa ambayo ina record ya matukio ya kinyama hasa matukio ya mauaji kwa vikongwe na albino
Mikoa ambayo ukiishi huwezi kukosa story za matukio ya vifo vya kinyama ambavyo hutendwa na wakazi wa maeneo hayo.
Ilikuwa ni mwaka 2004 baada ya kumaliza...
UYUI ni miongoni mwa Magereza makubwa yaliopo nchini Tanzania, lipo katika mkoa wa Tabora. Gereza hili huchukuliwa kama gereza la kanda ya Magharibi yani hujumuisha magereza ya Kigoma, Shinyanga, na Tabora yenyewe.
UYUI ni katika magereza yenye ngome kubwa zaidi ukiondoa gereza la Segerea na...
Nimezaliwa katika jamii ya wafugaji
Utamaduni wa jamii yangu hapakuwa na mtu aitwae Ngariba
Makuzi yangu hayakuwahi kunifahamisha kuwa binadamu akishazaliwa kuna fundi ambae uyarekebisha maumbile sahihi ya Mungu kwa kudondosha mkono wa Sweta. Elimu yangu ya kidato cha kwanza pale Mirambo...
Nilikutana Jesca mwaka 1999 katika chuo cha ualimu Tabora (Tabora TTC)
Mahusiano yetu yalizaa ndoa baada ya miaka mitatu baadae.. Pamoja nakuwa katika mahusiano hayo nilikuja kugundua Jesca nae alikuwa ni muathirika kama Mimi hasa kutokana na yeye kuwa na mzazi mmoja kama mimi
Jesca alikuwa...
Katika hii movie ukiitazama kwa umakini inakupa majibu sahihi Juu ya utaifa wako na hali ya uzalendo ulio nao katika moyo wako
Ila usichokifaham katika movie hii ni kwamba ilichezwa nchini Tanzania lakini wengi uamini kuwa ilichezwa Botwasana
Yawezekana wengi katika vijana wa .com hawaijui...
Pesa zilizotolewa kama Sadaka kwa waheshimiwa na Brother Ruge naamini kuna sehemu zilisaidia. Pesa hizo japo Leo mamlaka inadai zile ni pesa za haramu lakini mamlaka haisemi uharamu wa mshiko huo unatokana na kitu gani kama mahakama ndio ilimpatia umiliki halali brother Ruge baada yakuwepo...
Nimekuwa mtumiaji wa Huduma za UDART maarufu kama usafiri wa mwendokasi.
Binafsi Huduma za taasisi hii kiukweli zinatolewa chini ya kiwango tofauti na nchi nyingine duniani ambako huduma za namna hii zimekuwa zikifanyika..
Tukianza na Huduma ya CARD
Pamoja na kuwepo huduma hii katika taasisi...
Ni siku ya NNE nikijitahidi kuhakikisha napata ÀNKARA yangu ili nilipie kodi ya Kibanda changu lakini mfumo duni wa computer za mamlaka ya mapato Tanzania zimeshindwa kutatua tatizo hili la usumbufu unaojitokeza kwa watanzania ambao wameonyesha dhamira ya kulipia majengo yao
Mamlaka imeonyesha...
Naamini mtazamo wa raisi Magufuli haiwezi kuitwa sheria ya nchi
Naamini kama itatokea mtoto wa hakimu au advocate akapata ujauzito na mwalimu mkuu akawa na kiherehere cha kumfukuza shule hiyo itakuwa imekula kwake sababu mtu kupata mimba sio kosa la kikatiba
Kusema ukipata mimba umenajisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.