TFS- Njiti zimelowa mkaa utapanda bei

TFS- Njiti zimelowa mkaa utapanda bei

fakhbros

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
388
Reaction score
666
2a6c897acd658b649c492b2a25a51d4b.jpg

Wananchi wa nchi ya Zimbabwe waliwahi kuandamana mitaani kwa kupanda bei ya `Mkate

Wananchi wa nchi ya Kenya Leo hii watapiga kura ya kumkataa Uhuru Kenyatta kwa kushindwa kudhibiti mfumko wa bei katika bidhaa ya SEMBE

Hapa kwetu nchini Tanzania pamoja nakuwepo kwa Sheria inayo ratibu mazao yatokanayo na misitu ukiwemo MKAA (The Forest Regulation act ya 2004)

Regulations hii katika act zake vipo vipengele ambavyo vinaweka bayana ujazo sahihi wa gunia la mkaa

Ajabu katika sheria hizi hakuna mahala ambapo bunge la Jamhuri limeridhia kuwa gunia la mkaa liwe ujazo wa kg 50 isipokuwa kuna mabadiliko katika kanuni kutoka gunia la ujazo wa kg 90 katika sheria ya mwaka 1997 iliokuja kufanyiwa malekebisho mwaka 2004 na ujazo wa gunia la mkaa kutakiwa ujazo wake uwe ni kg 75 ujazo ambao uliafikiwa na wadau wote wa mkaa ikiwa ni Wavunaji, Wasafirishaji, na pia Wauzaji wakubwa na wauzaji wa kati pamoja na wauzaji wa kiwango cha gunia moja.

Naamini uwepo wa sheria hii ni bunge kutambua uhalisia wa maisha ya mtanzania kuwa uvumbuzi wake katika matumizi ya nishati hii ya mkaa ni jambo ambalo linapaswa kuwa katika kanuni za nchi sababu watanzania wengi wanategemea nishati hii ya Mkaa katika maisha yao ya kila siku.

Mkaa ni sekta inayotoa ajira kubwa kwa watanzania wengi kuliko sekta zingine kama sekta ya gesi na mafuta ya taa katika mahitaji ya kila siku.

Tamko la afisa wa TFS katika maadhimisho ya nane nane mkoani morogogoro lakuwataka wadau wa mkaa kuusafirisha katika package ya kilo 50 kama ilivyo repotiwa katika gazeti la mwananchi ni uonevu kwa wadau wa mkaa ambao tayari wameilipa serikali ada ya uendeshaji wa biashara hiyo kuanzia tarehe 01/07/2017 reseni inayompa uhalali mmiliki kuendesha biashara hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja
Madai ya kuwepo waraka wa kupunguza ujazo wa mkaa naamini yanaenda kinyume na maazimio ya Bunge la Jamhuri
Waraka huo haujazingatia mahitaji halisi kwa wadau wa mkaa Bali ni kutaka kuwaondoa katika biashara hiyo ili kutoa nafasi kwa wasambazaji wa gesi nchini kufanya biashara huku wafanya biashara ya mkaa wakibaki na umasikini wao

Selikali hii ya awamu ya tano imekuwa ikijinasibu kuwa hii ni serikali ya watu maskini
Watu maskini ni wale ambao maisha yao yanategemea mkaa ili kuendesha maisha yao

Sekta ya mkaa inawagusa mama lishe, wauza chips, na watu wa kawaida ambao wanaishi maisha ya kutumia kila siku yaani wazee wakuemea kwa book mbili ambao ndio wengi katika jamii yetu.

Naamini kama tamko hili la TFS halitafanyiwa Kazi mwaka 2020 tutaleta mabango yalio andikwa
TUMECHOKA NA BEI YA MKAA.
 
Kwahiyo mtanzania wa chini kabisa na maskini ndo aandamane kununua gunia la kg 90? Maskini kawaida hununua kopo 1 kwa siku..hojayako ingeleta maana kama serikali ingepiga marufuku uuzaji wa mkaa kwa makopo
 
Kabra ya badiliko hili gunia lenye kg 90 lilikuwa linauzwa tsh 65000/=
Baada ya zuio gunia hilo linauzwa Tsh 120000
Huku mtaani kopo la Mkaa lilokuwa likiuzwa kwa Tsh 1000 sasa linauzwa 1500
Ongezeko la 500 katika maisha ya mama ntilie niongezeko kubwa sana kuliko kitu chochote
Naamini maandamo yapo katika Hili tusubili muda tu
Sababu kwa Mara ya kwanza Tanzania imeweza kuingia katika machafuko ya umwagaji wa Damu kule Kibiti kutokana na Uhasama wa viongozi wa Uma na wazalishaji wa Mkaa.
 
Back
Top Bottom