Chonde MCL Tutawamis

Chonde MCL Tutawamis

fakhbros

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
388
Reaction score
666
4da8b11af47be13a1f04a8d49b3c8163.jpg

Huyu Rais Mgufuli MCL akisoma hii amini Tutawamis kweli jamani
Haya makosa madogo lakini ya effect yake nikubwa kwa mustakbari wa nchi na Tasnia ya uandishi wa habari
Kumbukeni Rais Mgufuli hapendi masikhara katika taaluma anaamini kuwa magazeti ni chombo kinachoweza kuleta faida kubwa katika nchi yoyote na chombo kinacho weza kuleta hasara kubwa katika nchi yoyote

Mwananchi kumbukeni magazeti yenu yanasomwa karibu east Africa nzima hivyo kosa lolote mnaloweza kulifanya katika uandishi wenu linaweza kuwakia takribani wasomaji million kumi na tano

Kwa hili la Mgufuli endapo waganda watalichukua kwa lugha yao maana yake ni mtu alie fungwa kwa mantiki hiyo Tanzania inatawaliwa na mfungwa kitu ambacho kinashusha heshima ya Raisi wetu kipenzi cha watanzania

Nimetumia threads hii kukumbusha MCL sababu huo ni wajibu wangu kama mteja mzoefu wa MCL.

Nitashukuru kama threads hii haitafutiliwa mbali na Mood.
Swala Mwanadama.
 
Ungejalibu kufafanua iyo mada mkuu mana bado misamiati
 
Mgufuli badala ya Magufuli.., Mtoa mada kwanini utafsiri hilo neno kwa Kiganda badala ya Kiswahili ikiwa uwasilishaji wake ulitumia Kiswahili?
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe ni kama mbingu na ardhi.

Yaliyomo katika hiyo habari ndio balaa.

Kajipange ndugu uwasilishe kitu kinachoeleweka.
 
Anamaanisha Mwananchi wamekosea (wameandika tanu badala ya tangu), so soon watafungiwa kwa hayo makosa na wakifungiwa ye atawamiss
Hata jina "Magufuli limekosewa
 
Kwa mara ya kwanza humu JF, sijaelewa kabisa mada.

[emoji56] [emoji56] [emoji56]
 
Mleta thread ni kada wa CCM haswa, CCM ni ya wajinga, wazee na maskini(TWAWEZA)
Sasa mkuu huoni kama hata wazee wako nao wanakumbwa na hii dhana yako? Au wako ni wazee wa kisasa?
 
Aisee,hata Mimi nitawamis,kama unavyoona hapa uzi wako ".eti " haueleweki na hao MCL naamini watashindwa kukuelewa. Labda mhariri wao naye Yuko hapa,hakuelewi![emoji16][emoji16]
 
Aisee,hata Mimi nitawamis,kama unavyoona hapa uzi wako ".eti " haueleweki na hao MCL naamini watashindwa kukuelewa. Labda mhariri wao naye Yuko hapa,hakuelewi![emoji16][emoji16]
Rais Mgufuli
Tanu Badala ya Tangu
Kweli ni vigumu kunielewa kwa MTU asiejua bei ya gazeti kama wewe
 
Rais Mgufuli
Tanu Badala ya Tangu
Kweli ni vigumu kunielewa kwa MTU asiejua bei ya gazeti kama wewe
Nimekuelewa sana tu,pamoja na kutokuwa na pesa itoshayo kununua gazeti,ingawa bei naijua.ndo maana nikatumia "eti"
NB:Asante kwa kutunza familia yangu tajiri.
 
Back
Top Bottom