Maajabu ya genetics

fakhbros

JF-Expert Member
Sep 14, 2013
338
550
245bbe79a0164fe6f43b4582b4c5afca.jpg

b14a6c1053b798e8f52c887eb06572c9.jpg

b8b818daea4151c60be52a964d7dd1fb.jpg

Ni miaka kumi na sita sasa tokea nitengane na baba Kalunde mwanaume niliempenda katika uhai wa maisha yangu

Ugomvi wangu na baba kalunde ni Mimi kuzaa mtoto wa kike mtoto wa kizungu

Baba kalunde hakuwa mzungu wala Mimi sikuwa mzungu jambo ambalo lingewezesha kuzaliwa mtoto wa kizungu katika familia hii ya Baba Kalunde

Mimi nilizaliwa katika kijiji cha Ndala kilichopo katika kata ya Upuge katika wilaya ya Nzega mkoani Tabora

Familia yangu ilikuwa ni familia ya kifugaji Japo baba yangu alikuwa ni msukuma kikabila lakini mama mzazi alikuwa ni Myiraba wa Shelui katika wilaya ya Kiomboi

Makuzi yangu yalikuwa sawa na makuzi ya familia zingine pale kijijini nilichunga mifugo ya familia yangu kama ilivyokuwa ada kwa watoto wa pale kijijini

Baada ya kuhitim masomo yangu ya primary sikuwa na kazi yoyote pale nyumbani zaidi ya kumsubili Mme ambae angejitokeza ili anioe

Kwa utamaduni wetu njia mbili zingeweza kukupatia Mme wa maisha yako
Njia ya awali ilikuwa ni msichana kujipitisha katika kundi la vijana wa kiume ambao tayari kwa umri wao wangeweza kuwa baba wa familia
Baada yakujipitisha wale vijana wangefanya vitendo vya kujipendekeza kwa msichana huku wakimpa mkono binti yule kama ishara ya kutaka kuchaguliwa
Kama binti angemchagua mvulana kwa kumshika mkono basi huyo ndie angefanyika Mme kwa binti yule njia hii iliitwa Chagulaga.

Njia ya pili ilikuwa ni familia ya kijana kuja katika familia ya bint nakuomba kijana wao kumuoa bint husika hii njia haikuwafurahisha vijana sababu hii njia ya awali ilikuwa inawafanya vijana kuheshimika katika jamii

Njia ya kwanza ndio nilioitumia Mimi kunikutanisha na baba Kalunde japokuwa awali sikumfahamu baba Kalunde ila kutokana na jinsi alivyokuwa akionekana idadi ya mapigo ya moyo wangu ilikuwa ikiongezeka kadri alivyozidi kunyoosha mkono wake wa kulia kama ishara ya kulilia penzi kutoka kwangu
Utashi wakuuzuia mkono wangu kugusana na mkono wa baba Kalunde ulizidi kushambuliwa na hisia za upendo wa ghafula kutoka moyoni kwangu
Mahakama ya kichwa changu tayari ilikwisha amua na kuiambia akili kuwa kijana huyu si kijana wa nchi hii Bali masihi wa hisia zangu tamaa ya ngono ilikuwa sawia katika mishipa yote ya mwili wangu nilijikuta mkono wangu ukinyooka mithiri ya mtu aelekea kuzima au kuwasha switch ya umeme
Huo ndio ukawa mwanzo wa kitabu changu cha ndoa

Japo kitabu hiki cha ndoa hakikuwa kitabu kipya kukisikia lakini kwa Mara yakwanza ndio nilikuwa naanza kufungua kurasa zake

Faraja ya dhati iliutawala moyo wangu huku kihemhem cha kutaka kujua kilicho ndani ya caves ya kitabu cha ndoa ikitesa hisia zangu..

Nilikuwa malikia wapekee baada ya tabia za mama mjamzito kuanza kujionyesha katika familia ya Mme wangu pale nyumbani

Mama mkwe hakuruhusu Mimi kutwanga mahindi ya makande tena wala kusonga ugari wa familia kutokana na hali yangu
Ikawa kazi yangu ni kukamua maziwa na kusimamia ndama.

Baada ya miezi tisa kutimia hatimae nilijifungua mtoto wa kike bahati nilijifungua nyumbani nahisi kama ningejifungulia hosptali naamini nisingemkubali yule mtoto sababu aina ya mtoto ambae nilijifungua hakufanana na yeyote pale katika familia ya Mme wangu wala damu hiyo sikuwahi kuiona katika ukoo wetu alikuwa mtoto wa kizungu mwenye nywere nyeupe macho yake ya blue mwanzo nilidhani alikuwa ni albino lakini tofauti na hisia zangu mtoto alikuwa ni mzungu

Baada ya miezi kupita huku mtoto akifika umri wakutambaa ngozi yake ilikwisha jipambanua kuwa mtoto alikuwa mzungu halisi

Jambo hili lilianza kuleta mgogoro katika ndoa yangu huku baba mkwe akimshinikiza mwanae kunirudisha kwetu ili familia yetu iweze kurudisha ngombe ambao walokuwa wametolewa kama sehemu ya mahali..

Vikao vya familia vilianza kwa kuitwa baba yangu ili muafaka kama ungekosekana aweze kuondoka na Mimi nyumbani kwetu

Baba yangu alikuwa mwenye msimamo sababu tabia zangu alizifahamu sikuwa mchepuko hata kama ningekuwa mchepuko huyo mzungu ningempata wapi wakunijaza hiyo mimba pale kijijini?

Kitendawili cha mtoto wa kizungu katika familia ya mwanamalundi kilikosa mtu wa kukiletea majibu ya kweli ili kunusuru pendo langu kwa baba Kalunde pendo ambalo lilianza kuoza taratibu kama kidonda ndugu.

Mme wangu maskini alianza kudhoofu kwa wivu huku mahusiano yetu yakianza kuingia dosali vipigo vya Mara kwa Mara vikiyatawala maisha yangu baba kalunde aliigeuza pombe kama mshauri wake kila Mara alipo rudi nyumbani alikuja akiwa amelewa nilipo jaribu kumgusa niliambulia kerbu hatimae nilimuogopa sikutamani hata kumsogelea niliona njia sahihi ya kumyoosha ilikuwa ni kumyima unyumba

Baba kalunde pamoja na ubabe wake hakuwa na ujanja nilipomuwekea kauzibe kuhusu unyumba nilimuona akinibembeleza huku macho yake yakijaribu kutengeneza mitalo ya machozi niligundua wazi kuwa Kiboko cha kumchapa baba kalunde ni kumbania babuchii baada ya mbinu hiyo kuona inaniletea mafanikio nilihisi maelewano yangeweza kuimalika na siku ambazo zingefatia nidhamu ingetawala katika nyumba yetu niligundua wazi ili umyooshe mwanaume Jeuri mbanie swala la ngono hata ukimpa mpe kimoja ili abaki na hamu zake....

Japo familia na ukoo wa baba kalunde haukunihitaji kuendelea kuwa sehemu ya ukoo huo lakini hali ilikuwa tofauti kwa mama mkwe

Mama mkwe hakuwa tayari kuona nikiondoka ndani ya ile familia siku zote alimkanya mwanae kuhusu tabia yake ya manyanyaso juu yangu hakupendezwa na ubaguzi uliokuwa ukifanywa dhidi yangu..

Siku moja baada ya kutoka Shamba mwanangu tayari alikuwa ndio anaanza kutambaa ilikuwa ni siku ambayo mama mkwe aliniita nyumbani kwake japo Makazi yake hayakuwa mbali na Makazi yetu Mimi na Mme wangu..

Baada yakufika nilimkuta mama wakiwa na wifi ambae ni Dada wa baba Kalunde niliungana nao lakini baada ya kufika pale mama mkwe alikuwa mwenye bashasha sana tofauti na wifi ambae nilihisi alijaa gubu kutokana na mgogoro uliokuwa unaendelea baina yangu na familia ya mwanamalunde
Sikujari sana sababu maisha yangu yalikwisha andikwa hivyo katika kitabu cha ndoa, Maandishi ambayo yalikuwa yamebeba fumbo ambalo hata Mimi sikujua jibu lake

Baada ya kukaa kwenye kigoda nilimtoa mwanangu mgongoni huku bibi yake akimpokea na kumuimbia mjukuu wake huku akimbusu vishavu vyake vya kichanga

Sikujua nilichoitiwa na mama mkwe Bali nilikuja fahamu kuwa alihitaji kusukwa kichwa chake

Baada ya mama mkwe kutoa kitambaa chake kichwani nikiwa nyuma yake tayari kutimiza jukumu langu la ususi moyo wangu ulianza kunienda mbio baada ya kushuhudia nywere za mama mkwe jinsi zilivyokuwa tofauti na nywere za kibantu
Japo zilijaa weupe kutokana na shambulio la mvi lakini hazikupoteza uhalisia wake kuwa mama mkwe alikuwa na hii damu ya kizungu japo weusi wake ulizidi wa kwangu lakini kichwa chake kilijaa ukweli kuwa mama mkwe alikuwa mzungu msukuma

Shauku yakufahamu ukweli kuhusu nywere za mama mkwe na wingi wa umbea kutoka rohoni vilianza kunisukuma kumhoji mama mkwe kuhusu kichwa chake kuwa na nywere za msomali wakati yeye ni msukuma typically

Nilianzisha maongezi yangu kwa kumsifia mama mkwe hasa kutokana na uzuri wa nywere zake kitendo kilichomfurahisha sana mama mkwe sababu pamoja na uzee wake alipenda sana ujana hivyo kitendo cha kumsifia kiliujaza furaha moyo wake na kumfanya kuwa rafiki yangu kwa wakati huo

Niliiona hii kama fursa kwangu yakuweza kuupata ukweli kuhusu uzungu wa Kalunde

Baada ya kumuuliza kuwa ilikuwaje akawa na nywere za sample hii
Mama alinieleza kuwa yeye alizaliwa hivyo na hajui kipi kilichotokea hadi kuwa hivyo lakini aliniambia kuwa akiwa binti mdogo alimuona babu mzaa baba yake akiwa na nywere zilizofanana vyema na zake japo alikuwa mzee ambae kiumri alikuwa na miaka 88 lakini nywere zake zilikuwa za kisomali pamoja na upara wake ilitosha kumuita msomali

Mama mkwe aliniambia kuwa katika familia yao ni yeye pekee ndie alichukua umbile la yule mzee japo yeye alikuwa mtoto wa kike lakini Shep na sauti alifanana vilivyo na yule mzee jambo lilo mfanya kuitwa muarabu na ndugu zake sababu waarabu ndio walikuwa wakipatikana kwa wingi maeneo yao katika kijiji cha Manonga

Nilimuuliza ilikuwaje babu yake kuwa katika hali hiyo
Katika majibu yake aliniambia kuwa miaka zaidi ya mia moja ukoo wao hasa upande wa bibi yake mzaa babu alikuwa ni mfano wa yeye yani mzungu msukuma japo history halisi kuhusu bibi yule kuwa mzungu msukuma hakuijua sababu maandishi yakuongelea history ya ukoo wao haikuwepo zaidi ya simulizi kutoka kwa wahenga...

Wakati nikiendelea kumsuka nilihisi moyo ukiniambia kuwa nitunze nywere za Bibi yule katika matiti yangu hivyo fikra ya kuiba nywere za mama mkwe ilianza kutawala hisia zangu

Nililipindisha chanuo langu la mti katika nywere za mama mkwe nakuzichana kwa Nguvu nywere za bibi yule kwa mkito wa Nguvu
Nilifurahi sana jinsi ambavyo lile chanuo lilivyokuwa linapukutisha zile nywere za bi mzungu niliyakusanya mavuno yangu nakuyapachika katika sidiria yangu chini ya matiti yangu...

Baada ya kumsuka mama mkwe nilirejea nyumbani huku fikra ya kuzitunza nywere za bi mzungu katika maficho yangu kabla ya kufanya tukio lingine ambalo lingeweza kunipatia ukweli

Fikra yangu ilinipeleka katika kuhakikisha napata nywere za baba kalunde ili niweze kulinganisha na nywere za mama mkwe japo nywere za kichwa hazikufanana kabisa lakini nywere za siri za baba kalunde zilikuwa ndefu mithiri ya nywere za mama mkwe pindi alipo ziacha zikawa kubwa bila kuzivuna..

Baada ya kujilidhisha kuwa baba kalunde nywere zilizo karibu na beach ni za mzungu nilitamani kumfanyia supplies ya kuhakikisha namvuna nywere zake japo nilihisi pangekuwa na ugumu kutokana na mgogoro wetu
Wa kindoa lakini niliamini kama Delila yule mwanamke wa kwenye bible alimuweza samsoni nakumyoa rasta zake basi na mimi nilihitaji mbinu muafaka yakumshinda baba Kalunde kwa kumlaghai kwa mapenzi hewa Japo mwanzoni nilimpenda sana baba Kalunde lakini tabia yake yakunituhumu kwa ngozi ya Kalunde ilinijengea chuki kubwa kwa Mme wangu baba Kalunde
Fikra yakuendelea kuwa mke mwema kwa Baba kalunde ilikwisha toweka kila siku nilitamani mauti inikute Mimi na mwanangu ili kuepuka hiyo fadhaa ya ukoo wa mwanamalundi
Kuna wakati nilitamani kujiua au kumua baba kalunde lakini ujasiri wakutenda hii jinai sikuwa nao Bali niliishia kuteketea kwa mateso ya ndoa

Baada ya kumlaghai baba kalunde hatimae niliweza kupata nywere za sehemu zake za siri hasa baada yakumuahidi kuwa siku hiyo ningemuruhusu kufanya zaidi ya kimoja baada ya kunielewa nilimuangalia sehemu zake za siri zilikuwa tayari zimeanza kutuna nilijua wazi baba Kalunde alihitaji ngono
Nilimkumbatia huku ulimi wangu nikiutumbukiza katika kinywa chake ila yeye alikuwa mshamba hakujua style hii ya kumungunya ulimi niliunasa ulimi wake nikawa na unyonya kwa style yakuungata kidogo sauti yake yakuuguza maumivu ilinitia ukichaa zaidi nikazidi kumpagawisha msukuma wa watu..

Ghafula wote tulikuwa uchi wa myama sikujari tamaa zake Bali macho yangu yalienda moja kwa moja chini ya kitovu cha baba kalunde hakika mkonga ulikuwa umesimama imara nilimwambia baba kalunde kwa sauti ya mahaba kuwa ningependa kumyoa kwanza ndio tuingie kwenye mech
Hakuwa mbishi sababu tayari alikuwa amelegea vilivyo macho yake ungedhani kanywa juice ya Kungu Manga..

Baada ya kumyoa baba kalunde sikutaka kuhangaika na zile nywere sababu razima ningezitoa mwenyewe pale nakuzihifadhi sehemu ambayo ningehitaji...

Baada yakuzipata nywere za Baba Kalunde nilizigawanya kwa mafungu huku fungu moja nikiweka nywere za mama mkwe na fungu jingine niliweka nywere za Baba Kalunde

Baada ya hapo niliandika katika karatasi niliohifadhi katika nailoni pamoja na zile nywere kisha nikatengeneza Hirizi kubwa nikamfunga Kalunde kiunoni....

Awali sikujua umuhimu wa nywere zile japo lengo langu ilikuwa nikuandaa ushahidi pindi kalunde atakapo kuwa nilijua lazima siku moja angeniuliza baba yake mzungu alipo swali ambalo nisingeweza kupata majibu jambo ambalo lingemfanya aishi katika ulimwengu wa huzuni hakika sikupenda hilo litokee ndani ya maisha ya kalunde.

Baada ya mateso kuendelea niliamua kuondoka katika familia ile nakuamia Nzega mjini kule alishi dada yangu mitaa ya kitongo

Baada ya kufika Nzega mjini na mwanangu mme wa Dada alinitafutia kazi ya hoteli katika hotel moja itwayo forest hotel
Pale walikuwa wanaishi wazungu ambao walikuwa niwafanyakazi ktk mgodi wa Resolute

Siku moja baada ya kuja na Kalunde pale kazini wale wazungu walitokea kumpenda sana mwanangu sababu mmoja alifanana sana na kalunde ungedhani ndie baba yake jambo lilomfanya ampende sana kalunde mapenzi ambayo baadae yalihamia kwangu na Mimi kujikuta na kuwa Mrs Gordon raia wa ustalalia

Mr Gordon aliniachisha kazi pale hoteli akanipatia ajira mpya kule mgodoni katika section gold room hakika mshahala wangu ukawa ni zaidi ya Dr wa Tanzania nikawa na pesa zilizonifanya kuisahau familia ya mwanamalundi

Siku moja tukiwa likizo Arusha Mimi na Mr Gordon Mr Gordon aliniambia kuwa anatamani kujua kwa nini Kalunde afanane nae kitu hadi tabia ambazo wakati wa utoto alikuwa nazo aliazimia kupata majibu ya lakini akasema kama angepata samples za baba Kalunde angemfanyia kalunde vipimo vya DNA kipindi cha likizo Australia
Nilimuuliza alihitaji nini katika sample hizo Mr.gordonn akasema anahitaji kucha au nywere
Nilimuhakikishia uwepo wa vitu hivyo na nikamwambia tutakaporudi Nzega ningempatia.

Baada ya vipimo kufanyika Mr Gordon aliporejea nchini alirejea na kablasha kubwa lilobeba majibu kuhusu Kalunde

Vipimo vilionesha kuwa nywere za baba kalunde na Kalunde zilikuwa na vinasaba vingi zaidi kuashilia kuwa kalunde na baba yake walikuwa ni Mtu na mwanae ila vinasaba vya Mr.Gordon vilikaribiana kwa karne moja na vinasaba vya mama mkwe jambo lilomshutua Mr Gordon na ndipo alipo rejea katika history ya Familia yake

Katika kuisoma history ya familia yake alikuja kugundua kuwa miaka 140 iliopita Sir Gordon ambae ni babu yake mzaa babu alifanya safari katika bara la Africa huku katika msafara wao walikuwa watu nane pamoja na Mr. George Williamson ambae baadae alitajwa kama mvumbuzi wa mgodi wa Almas nchini Tanzania

Katika maandishi ya sir Gordon anamtaja mwanamke mmoja wa kiafrica ambae alimpenda baada ya kupewa zawadi na mtemi wa nchi ya waluga luga
Sr Gordon anamuelezea jinsi alivyomfanyia ukarimu hasa baada ya kugongwa na nyoka aina ya swira pindi walipokuwa kijiji cha mwamashimbi

Mwanamke huyu wakiafrica anamtaja kama mtu alie mfunza utamaduni wa jinsi ambavyo waafrica walivyokuwa wakarimu na hata katika swala mahusiano mwanamke wa kibantu alijitoa hasa kitandani kuliko wanawake wa kizungu ambao walikuwa na ulaghai mwingi kitandani

Sir Gordon anamuelezea huyo binti wa kibantu alivyo urejesha ujana wake hasa kutokana na jinsi alivyokuwa anajipindua pindua kitandani kama mcheza yoga wa kibudha.

Baada ya kujilidhisha kwa taarifa ya Mr Gordon kutoka Australia niliamini kuwa Kalunde alikuwa mtoto halisi wa baba kalunde kitu kilichokuwa kimenitesa miaka mingi
Lakini niliweza kugundua kuwa Mr Gordon na mama mkwe kuwa walikuwa ndugu kwa mujibu wa vinasaba

Baada ya uvumbuzi huo Mimi na Mr Gordon tuliweka dhamira ya kuutafuta ukoo wa sir Gordon uliopotea Africa

Safari yetu ya kwenda mwamashimbi ilikuwa ya lazima kuliko kitu chochote baada ya miezi mitatu tayari tulikuwa tumempata bibi mmoja ambae alitupatia maelezo yalio muhusu bibi Nyandutwa ambae aliwahi kuishi katika kijiji cha mwamashimbi kabla ya kuhamia kijiji cha Maganzo bibi nyandutwa ilisemekana kuwa alibahatika kupata mtoto mmoja wa kiume ambae jina lake aliitwa Ncheye kina hili la ncheye ndio alilitumia mama mkwe yeye aliitwa Mwanancheye
(Mtoto wa ncheye)

Nilifurahi sana baada ya kukamilisha utafiti wangu kuhusu mwanangu Kalunde baada ya hapo tuliongozana na Mr Gordon hadi kijiji cha Ndala kwenye familia ya mwana Maulunde kutokana na ushahidi na history halisi tuliokuwa nayo familia nzima ilibaki imedua huku baba Kalunde akiniomba msamaha nakunitaka turudiane jambo ambalo lisingewezekana sababu tayari Mr Gordon alikwisha jitambulisha nyumbani na taratibu za kutoa ngombe kwa baba zilikuwa zimefanyika.

Baadae baada ya mgodi kumalizika tulihamia Australia Kalunde sasa ni binti mkubwa tu mama mkwe nae Mr Gordon aliamua kumuombea uraia kutokana na vinasaba haikuwa Kazi ngumu kupata uraia wa Australia
Nakuachana na familia ya mwanamalundi...

Story created by Kalunde
 
Wee farkina wewe!!
Mambo hayo ya kutesa mume kisa papuchi !!!!
Btw:
Ni simulizi nzuri ambayo kuthibitisha uaminifu wa mwanamke, inachukua muda sana
 
Mh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom