Tafuta usahihi wa picha hii

fakhbros

JF-Expert Member
Sep 14, 2013
338
550
ce1ab0852b64ba3936be8add2341cf75.jpg

Haya bwana kazi kwako..
 
Ni kweli ni dukapicha [photoshop] maana sura ya mtoto ni moja
hahahahaaaa
 
Usahihi ni kua mtoto aliyebebwa mgongoni ni huyo wapili kutoka kwenye kisogo cha mama yake,utaona hata mikono ya huyo mama Imeelekea kwa huyo mtoto,hao wengine wameongezewa tu,yaani ni photo shop.
 
Wa pili mkono wa kulia

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom