Search results

  1. Teamo

    wivu kwenye MA-KOPAKOPA unahusika ?...au ndo sanaa za mjini!

    Salaam wana MMU!...... Nadhani mshawahi kusikia kwenye media zetu kwamba...... 1-AJIUA KWA KUNYWA SUMU KISA WIVU WA MAPENZI 2-AMWUA MKEWE KISA WIVU WA MAPENZI 3-AITEKETEZA FAMILIA KWA MOTO KISA WIVU WA MAPENZI 4-AMWUA MUMEWE KWA KISU KISA WIVU WA MAPENZI Kuna kitu sielewi hapa....!Hivi kwenye...
  2. Teamo

    wivu wa MA-KOPAKOPA! na madhara yake..!

    Wadau wangu wa MMU mupo? kama kawiiz kama dawiiz naona gurudumu linasongeshwa ile ile.....!hongereni sana...! Mi na omba niwaulize tu...hivi kwenye MA-KOPAKOPA wivu unahusika sana?... i mean wivu ni lazima uwepo?.. na kwanin ni lazima tunahitaji wivu?...(au wivu ndo ubinadam wenyewe?).. au...
  3. Teamo

    USTAARABU kwenye NYUMBA ZA KUPANGA......!

    Jamani salama lakini?.. Awali ya yote tutakiane heri ya mwaka mpya wa 2013...! Ndugu wana-jf naamini kabisa kuna watu humu jamvini wana maisha ya kawaida kabisa ya kitanzania ambayo hata mim ninaishi...!kwamba kuna watu tunaishinyumba za kupanga ambazo unakuta kuna facilities ambazo mnafanya...
  4. Teamo

    ''USANII'' na WAPENZI WETU/WAKO...tukumbushane!

    MMU NIAJEEE?!.... BIYEEE?!............ mliwasiiimaaaaa?!.... Mimi nimekuja hapa jamvini kuwaomba tukumbushane ''usanii'' wa wapenzi wetu enzii hiizooooooooooo...!kuna tumaneno twa kisanii sanii wanawake hupenda sana kututumia pindi wanapokuwa kwenye mapenzi na wanaume wao..na hasa hasa kama...
  5. Teamo

    Happy Birthday pacha wangu carmel...!

    carmel is my twin sister...(kama ingefaa kujitambulisha). tulizaliwa siku moja...mama mmoja...baba mmoja.....temeke hospitali mnamo tar 27th-september.tulibatizwa sote pale kanisa katoliki chang'ombe miezi sita baadae!...kila mtu alikuja ingia jamiiforums kwa time yake na aidii yake...
  6. Teamo

    Mtizamo: Let love lead the way

    Wapendwa wana MMU.....! habari za muda kidogo!?nimewamisoooooooo mpaka natetemeka. baada ya kufuatilia kwa muda mrefu kidogo mtiririko wa matukio na mabandiko katika jukwaa hili ''mama'' la jamiiforums,nimedhani ni muhimu na mimi kama mwana MMU nikatoa ushauri wangu mdogo tu......! Ninashauri...
  7. Teamo

    MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

    MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU: Salaam wakuu wangu! It's been long time since i posted a thread herein lakini haina mbaya kiviile manake makamanda mnawakilisha kama ilivyo ada! STRAIGHT TO THE TOPIC: Nimeangalia sana kwa uchunguzi wangu wa muda mrefu nikagundua kuwa: 1) Asilimia kubwa sana...
  8. Teamo

    Huyo rafiki tupa kule! Hicho ki-playboy tupa kulee! Kwani nini?

    YAANI KWAMBA....! binti anamuintroduce rafikiye kwa mchumba wake (ambaye tayari wanaahadi za kuoana na pete za uchumba washavishana).... katika mazingira ya kustaajabisha sana huyo mwanaume anamuapproach rafiki wa mchumba wake na wanaanza mapenzi MARA MOJA (kama mchakato wa simbion kuinunua...
  9. Teamo

    To ''love'' and ''feel loved''...!

    Wakuu wangu wana MMU salama? Nimewamiss sana kwa kweli....!TUPO PAMOJA KUNA KITU NAJIULIZA SANA for some three/four days now -Kwamba wakati mwingine inatokea ''YOU LOVE SOMEONE'' lakini ''YOU DON'T FEEL LOVED''.hili naona kama linataka kuleta shida kidogo. -Sasa najaribu kuelewa...
  10. Teamo

    How do you explain?......

    How do you explain to a 5 yr old kid that you can't afford something he/she wants.....something which you were able to provide in the past?...
  11. Teamo

    USHAURI WA BURE:acheni ''WIVU'' kwenye ''MIPANGO YA KANDO''

    Wakuu, Heri Inapatikana? Natumaini nyote ni wazima......! Teamo anaenda straight kwenye hoja......!Na ujumbe huu uwafikie ''wenye ndoa zao'',mkubali msikubali potelea mbali,mimi nawapa black-and-white Kama umeoa/umeolewa...... Halafu Una hobby na ''mipango ya kando''...... TAFADHALI...
  12. Teamo

    Wapwaaz leo tukutane na kunywa pombe?

    wapwaaz nimewamiss sana aisee.....! mi naona TUKUTANE TU NA KUNYWA POMBE!(mavodka,valuu,viceroy,grants n.k) mi naona inafaa zaidi kwanin inafaa zaidi? -inauma sana kuangalia BUNGE LA KITOTO kama la tanzania -inauma sana kuangalia ''command theories'' za mh spika -inauma sana unapowapigia watu...
  13. Teamo

    Ni muda muafaka wa ku-excercise ''open marriages''..?

    Haya haya wana MMU.....! Teamo anaona ni busara zaidi kama tutaelezana facts kuhusu ndoa na mahusiano ya kizazi hichi...(kizazi cha nyoka,kudadadeki)...! -uchakachuaji umezidi sana tu TENA SANA -imefikia mahala sasa hizi ndoa za ''mume mmoja na mke mmoja'' zinaonekana kufail kabisa kabisa...
  14. Teamo

    Taarifa Ya Kuhani Msiba Kwa Dada JS

    Wapendwa Katika BWANA.....! habari zenu binafsi kwa ujumla wenu?...ni matumaini yangu kwamba Wote mnaendelea vyema na mchakato wa kuutafuta mkate wenu wa kila siku. Kama vile wote mnajua kwamba Dada Yetu Mpendwa JS alipata msiba kwa kuondokewa na Baba Yake MZAZI MNAMO TAR 31/12/2010 Saa...
  15. Teamo

    Kuachwa na your/my first love -vs- umri

    habari zenu mabibi na mabwana??.... vipi mnashiriki walau mlo milo mitatu kwa wiki na familia zenu? vipi mmeona matokeo mazuri ya hiyo kanuni?..... ahsanteni sana mabibi na mabwana... STRAIGHT KWENYE HOJA!...(chakachua nikufabriketi..) ZINGATIA MAZINGIRA YA MIFANO IFUATAYO (kwa makini...
  16. Teamo

    Kushiriki chakula na familia: Ushauri kutoka kwa Teamo

    Habari zenu binafsi?!.... Awali ya yote napenda sana kumshukuru sana MAANANI,kwani ni yeye pekee anaetuweka mimi na wewe DUNIANI.Natumia Fursa hii adimu kuwashukuru sana wetu mimi na wewe WAZAZI,kwa kazi ngumu ya kutuleta sisi DUNIANI STRAIGHT KWENYE HOJA: TEAMO anawashauri wakina baba wenye...
  17. Teamo

    ''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

    WAKUU, HABARINI ZA MAJILIO? naomba mawazo yenu katika muendelezo ule ule wa ''kuelezana ukweli unaohuzunisha''..... ASSUMING KWAMBA SITUATION IMETOKEA HIVYO na baba mwenye nyumba ameamua kuwa na ''mpango wa kando'' kwa sababu zozote zile,mi nataka tupeane mawazo kwamba hivi ni nani anaeinjoi...
  18. Teamo

    10,000+

    haijawahi kuwa rahisi.....! tutakiane kheri wakuu........ NI UPENDO TU! ahsanteni sana kwa upendo wenu DEDICATION; all these posts are dedicated to rose1980,cause she is the only woman who MAKE ME FEEL!
  19. Teamo

    Marafiki,wapwa na mabinamu kuelekea dodoma!..........

    Ladies and Gentlemen, ''The King'' na wadau wengine wakubwa wa 'JF ISIYO NA STRESS' wapo kwenye mkakati wa dhati na wa kudhamiria kabisa kuelekea Dodoma wiki ijayo ili kuwapongeza na kuwapa mkono wabunge vijana na kipenzi cha wote siku ambayo watakuwa wanaapishwa rasmi. Tunaamini kwamba kwa...
  20. Teamo

    WIKI MBAYA KABISA!:wiki ya uchaguzi-2010

    Wandugu.......! HABBAAARR ZEEENU BAAAANAAAAAAAAAA! kwa kweli leo nimeonelea ni vyema kabisa nikatoa ''langu la moyoni'' maanake dah!kuna vitu havivumiliki nina HASIRA KALI inayotokana na kukisikia nisichokitarajia kwenye vyombo vya habari! nina amini kwamba TUNAONEWA na hawa ''metropolitan''...
Back
Top Bottom