How do you explain?......

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,035
How do you explain to a 5 yr old kid that you can't afford something he/she wants.....something which you were able to provide in the past?...
 
U just tell him/her the truth if is the matter of money or its absence and u can ask him/her if to buy its close substitute will be ok if any,,,watoto siku hizi hawadanganywi
 
eleza mtoto ukweli,dunia ya sasa si ile ya jana!mimi siku zote huwaambia watoto wangu ukweli,kama siwezi kumnunulia kwa sababu nimegundua kina madhara kwake nitamwambia,kama sina pesa namwambia au namuahidi nitampa baada ya muda flani,inategemea lakini ukweli ni mzuri hasa katika kumjenga mtoto pia.mfano first born wangu 6yrs alimuliza mama yake hivi mum watoto wanatoka wapi,mum akamdanganya wiki moja baadae mtoto alikuja kutoka shule ni mkali anamuliza mama yake kwa nini alimdanganya?akamweleza jinsi mtoto anapatikana!tuwe wa kweli kwa watoto hata kama si kwa vitu vyote lakini pale inapobidi ni vizuri
 
kama u were able to provide at the past mwambie mtoto kua kitu hicho kimepitwa na wakati.................
 
How do you explain to a 5 yr old kid that you can't afford something he/she wants.....something which you were able to provide in the past?...
if you are not bold enough,you can end up dropping some tears!
 
watoto wa siku hizi wana raha...

yaani unahangaika kufikiri utamueleza vipi?

enzi zetu sisi ni bakora tu,tu mpaka unaeelewa.. kuwa mzazi hana pesa...


siku hizi kuna mpaka haki za watoto za kucheza....

natamani kurudi utoto....
 
Inaumiza ila mwambie tu ukweli na uoneshe kweli huwezi. Sio umemwambia sina hela ya chokoleti baadae anakuona baba unameagiza serengeti zako za kutosha.
 
Mwambie ukweli, mpe sababu zako kwa nini sasa huwezi. Atakuelewa zaidi kuliko kudanganya, atagundua ukweli tu.
 
Pole my dear ..
ni situation ngumu sana hiyo ..
lakini cha muhimu naona ushauri mwingi umepewa umwambie ukweli

mie binafsi nitamwambia ukweli+uongo= :decision:

namaainisha sintomwambia mtoto wa miaka mitano ..
ukweli mtupu..
(eti samahani Juma, baba/ mama hana fedha kwenye bank)
hiyo haita kaa itokee not in my clock..
ntachanganya changanya kidogo ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom