Taarifa Ya Kuhani Msiba Kwa Dada JS

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
Wapendwa Katika BWANA.....!

habari zenu binafsi kwa ujumla wenu?...ni matumaini yangu kwamba Wote mnaendelea vyema na mchakato wa kuutafuta mkate wenu wa kila siku.

Kama vile wote mnajua kwamba Dada Yetu Mpendwa JS alipata msiba kwa kuondokewa na Baba Yake MZAZI MNAMO TAR 31/12/2010 Saa tano na dakika arobaini na Tano Usiku.Sisi kama marafiki wa jamiiforums tulikutana na kujadili namna ya kumpa faraja mwanachama mwenzetu kwa namna ndogo ambayo tunaweza.

Napenda kuwajulisha kwamba leo tuna kutana na Dada Yetu JS ''pale pale''.Tunatarajia kuwa nae pale kwa muda mfupi kidogo walau tumpe pole na kumfariji kwa namna nzuri itakayo mpendeza mungu

Muda ni ''Ule Ule''

Wengi wenu mliopo Dar nimewapigia simu kuwajulisha hili swala...sasa kwakuwa mimi ni binadamu mwenye mapungufu kuna uwezekano nikawa nimewasahau watu wawili watatu.Napenda kutumia jukwaa hili pendwa kurusha thread hii ili kwa yoyote ambae sijampigia simu asome na kufika bila kukosa.

Ahsanteni Sana Kwa Kusoma Tangazo hili na kunielewa
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI JF

R.I.P baba yetu mpendwa
 
Asante kwa taharifa,binafsi ndo naziskia now,R.I.P Daddy,anywei pale pale sijui ndo wapi,kwa mm ambae sipafaham maelezo japo madogo plz
 
Asante kwa taharifa,binafsi ndo naziskia now,R.I.P Daddy,anywei pale pale sijui ndo wapi,kwa mm ambae sipafaham maelezo japo madogo plz

pearl,
naamini tunazo namba zako
tutakupigia
 
Asante kwa taharifa,binafsi ndo naziskia now,R.I.P Daddy,anywei pale pale sijui ndo wapi,kwa mm ambae sipafaham maelezo japo madogo plz
My first Notification too!
Mlitangazia wapi ewe Teamo?

Anyway, not too late!
Dada JS pole sana mpendwa!
MUNGU NDIYE ATAKAYEKUFARIJI VYEMA ZAIDI!
RIP MZEE-AMEN!
 
Asante kwa taharifa,binafsi ndo naziskia now,R.I.P Daddy,anywei pale pale sijui ndo wapi,kwa mm ambae sipafaham maelezo japo madogo plz

Kumbe siko peke yangu,

Pole sana JS

RIP mzee wetu mpendwa.
 
My first Notification too!
Mlitangazia wapi ewe Teamo?

Anyway, not too late!
Dada JS pole sana mpendwa!
MUNGU NDIYE ATAKAYEKUFARIJI VYEMA ZAIDI!
RIP MZEE-AMEN!
kwakweli mkuu piijey kwa kipindi hicho mimi nilikuwa likizo,na nyumba ninayoishi imeathiriwa na DOWANS ndo maana sikuwa na access ya kurusha tangazo,mawazo yangu yote kwamba watu wanajua.

TUSAMEHEANE WAKUU
 
Pole sana JS ndo naona hii post na kugundua kuwa uliondokewa na mpemdwa wako
Pole mpenzi mungu aendelee kukufariji kwa namna yake ya kipekee
Asante Teamo tuko pamoja kiroho
 
Wakuu,

tusameheane tu kwa kuchelewa kupeana taarifa kidogo hakukuwa a nia yoyote tofauti wajameni

NI UPENDO TU
 
Mkuu Teamo,
Inavyoonekana watu wengi hapa hatukuwa na tahaarifa hizo za msiba,n huyu akiwa kama mwenzetu na ndugu yetu wa karibu naamini anasoma haya maelezo hapa,je inawezekana tujipange ili walau na ss tujumuike ktk kumfariji mwenzetu kwa ppamoja?Kama ndio basi tupange siku maalum ili tuweze kufanya kama mila na tamaduni zetu,ni mtazamo tu lkn.
Regards
Pearl
 
Inaonekana wengi wetu hatukuwa na taarifa hizi....

Pole sana JS, nina imani Mungu amekupigania katika kipindi kigumu na ataendelea kukupigania

Raha ya Milele umpe baba yetu ee bwana....
 
Mkuu Teamo,
Inavyoonekana watu wengi hapa hatukuwa na tahaarifa hizo za msiba,n huyu akiwa kama mwenzetu na ndugu yetu wa karibu naamini anasoma haya maelezo hapa,je inawezekana tujipange ili walau na ss tujumuike ktk kumfariji mwenzetu kwa ppamoja?Kama ndio basi tupange siku maalum ili tuweze kufanya kama mila na tamaduni zetu,ni mtazamo tu lkn.
Regards
Pearl
naiona point yako mkuu....!

maadam hoja iko mezani ngoja tuone wadau watasemaje
 
I've been there, i know the pain she is going through.Pole mpedwa mpeni pole sana pj sie wakuja tu hapa dar.
 
Nashangaa hata Acid hajasemea lolote jambo hili...!..

unajua piijey,
kosa hapa ni kutorusha tangazo....

talking of acid.....well,mimi binafsi nimesikia kutoka kwake,na alishiriki kwenye kale ka mkutano ka dharula tulikokaa na mpaka sasa tupo nae pamoja ingawa yeye kwa sasa yupo MASWA....(ameenda kuongeza mke wa tatu)
 
Pole sana dada JS..............ni matumaini yangu mtakaoshiriki mtatuwakilisha vyema sisi tuliopo mikoani!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom