Mtizamo: Let love lead the way.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtizamo: Let love lead the way....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Teamo, Sep 14, 2011.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Wapendwa wana MMU.....!

  habari za muda kidogo!?nimewamisoooooooo mpaka natetemeka.

  baada ya kufuatilia kwa muda mrefu kidogo mtiririko wa matukio na mabandiko katika jukwaa hili ''mama'' la jamiiforums,nimedhani ni muhimu na mimi kama mwana MMU nikatoa ushauri wangu mdogo tu......!

  Ninashauri tungeacha mapenzi yakatafuta njia na yakatuongoza pale ambapo kila wapendanao wanatamani kupafikia.....!

  I mean let us ''BE WHAT WE ARE''...and we let ''love'' lead us where we wanna be...!

  ''KIONJO KIMOJA TU CHA ZIADA KUTAKA KULILINDA PENZI/KULINDA NDOA-
  kitakuumbua''

  ahsanteni sana wakuu
  !
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  thank you for the useful thread....na siku nyingine usipotee hivyo banaa
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,099
  Likes Received: 24,117
  Trophy Points: 280
  Teamo Ti ndani ya nyumba...

  Umeiba maneno yangu mkuu. Unajua kila siku mi huwa nawaambiaga watu humu ndani kuwa mapenzi hayana formula moja kiasi kwamba ukiingiza data na kukalkuleti unapata jibu moja sawa na wenzako.

  Kila mtu ana kionjo chake katika mapenzi. Kila mtu ana mbinu zake za kukoleza mapenzi. Kila mtu ana ujanja wake wa kusovle matatizo katika mapenzi..... Mapenzi yanaflow naturally. Ukianza kujifunza njia za kuyaendesha mapenzi ujue unatumbukia shimoni.

  Acheni mapenzi yatawale na si kujifunza kanuni za kuyafanya mapenzi yadumu.

  Imetolewa na ODM
  Kaunta ya JUU
  King Star.
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  haya mama..!

  lakini haya mambo tungeyaacha yajiendeshe yenyewe bana!naona kama tunayapa ''external support'' kubwa mno kiasi kwamba yanashindwa kujiendesha yenyewe automatically...

  nb:habari za zimbabwe?
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  FIRST-CLASS mkuu....!

  mi nimeshachoka kuandika andika...mods wangeiclose tu hii nyuzi maanake huu ni ''ukweli-unaohudhunisha''
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,099
  Likes Received: 24,117
  Trophy Points: 280
  Hapa ndipo watu watakapomshangaa ODM atakapopiga marufuku vibinti vyake kufanyiwa kitchen party.... Mtu kishalazwa kwenye sita kwa sita mpaka kanogewa, kishazungushiwa viuno mpaka anajisikia kupaa mbinguni. Labda kashapigwa vibao kavumilia. Kishampikia na jamaa limeinjoi mapishi yake.......... afu leo eti majimama ambayo yenyewe ndoa zao zimeyashinda ndo yaje kumkalisha kitako na kumfundisha "Jinsi ya kuishi na mmewe"............Hell NO!
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahahahahahah!.....

  hapa napo pana shida kubwa sana
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Sep 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  ODM Shem... naona wanitisha sasa.... Khaa!!
   
 9. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Teamo habari yako bana?kwani mapenzi huwa hayana formular kama hesabu umeniacha kizani mwenzio
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ufundishaji wa mapenzi bila nyenzo unapunguza na unaharibu udadisi wa wapendanao
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Sep 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Mkuu Teamo... naomba kujua kama nimekuelewa sawa.... SWALI... Kwamba "if i love, i should follow my heart as long as nalinda ndoa yangu??"
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Ushauri mzuri teamo. Tusipende kulazimisha penzi,.
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,099
  Likes Received: 24,117
  Trophy Points: 280
  Hehehehe...ngoja nisepe, shem wangu AshaDii asijenifumania hapa. Kanambia leo namwaga sumu kama Profesa Maji Marefu LOL
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  we chauro mapenzi yatakuwaje na kanuni mama...!?
   
 15. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  cista....!
  yani unapenda nje ya ndoa??!......

  inawezekana kweli?
   
 16. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Inaelekea na mimi nilimuelewa the same na kama ni hilo kuna ukweli ndani yake na there is no real formula ya kujua kuwa mapenzi yanatakiwa kwenda hivi au vile
  Au Ad tumeingia chaka
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Sep 14, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,099
  Likes Received: 24,117
  Trophy Points: 280
  Exactly! But if that love is within your marriage!
   
 18. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #18
  Sep 14, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mh aksante Teamo ingawa nina mashaka kama nimewaelewa wewe na Babu..........eti hakuna haja ya kuhangaika KUYAFANYA mapenzi yadumu?!! hebu nielewesheni kwanza kabla sijapanda juu ya meza kwa ubishi!
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Sep 14, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hivi ninyi rock na ashadii nina wasi wasi kama nimewaelewa
   
 20. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #20
  Sep 14, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Husninyo kulinda penzi sidhani kama ni sawa na kulazimisha penzi au mimi ndo sielewi leo wajameni!? Mbona kila kitu naona kichina tu hapa?
  Najiona kama vile mnaniambia once am married, am being loved so sina haja ya kuhangaika kulidumisha??!!
   
Loading...