Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,069
Wadau wangu wa MMU mupo?
kama kawiiz kama dawiiz naona gurudumu linasongeshwa ile ile.....!hongereni sana...!
Mi na omba niwaulize tu...hivi kwenye MA-KOPAKOPA
Manake mi hapana elewa sasa inakwaje sasa kwamba yaaniii ukicheki media siku izi ni mambo yaaaa....
...jamani kweli????yaani kweli kabisaaa...yaan hamnaa kabisaaa yaaniii...!
haya jamani mim kwenye BNR VVTI huuyoooooooooooooo:car::car:!...nduli moja hii

- wivu unahusika sana?...
- i mean wivu ni lazima uwepo?..
- na kwanin ni lazima tunahitaji wivu?...(au wivu ndo ubinadam wenyewe?)..
- au wivu ndo mapenzi yenyewe?...
Manake mi hapana elewa sasa inakwaje sasa kwamba yaaniii ukicheki media siku izi ni mambo yaaaa....
- AJINYONGA KISA WIVU WA MAPENZI
- AMWUUA MKEWE KISA WIVU WA MAPENZI
- AITEKETEZA FAMILIA KISA WIVU WA MAPENZI