wivu kwenye MA-KOPAKOPA unahusika ?...au ndo sanaa za mjini!

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,273
1,042
Salaam wana MMU!......

Nadhani mshawahi kusikia kwenye media zetu kwamba......

1-AJIUA KWA KUNYWA SUMU KISA WIVU WA MAPENZI
2-AMWUA MKEWE KISA WIVU WA MAPENZI
3-AITEKETEZA FAMILIA KWA MOTO KISA WIVU WA MAPENZI
4-AMWUA MUMEWE KWA KISU KISA WIVU WA MAPENZI

Kuna kitu sielewi hapa....!Hivi kwenye ma-kopa kopa unahusika sana....?au niseme una role yake ya kuplay kwenye makopa-kopa?...au ndo yale yale tu....'sanaa'?.....:A S-confused1:
 
Back
Top Bottom