Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
WAKUU,
HABARINI ZA MAJILIO?
naomba mawazo yenu katika muendelezo ule ule wa ''kuelezana ukweli unaohuzunisha''.....
ASSUMING KWAMBA SITUATION IMETOKEA HIVYO na baba mwenye nyumba ameamua kuwa na ''mpango wa kando'' kwa sababu zozote zile,mi nataka tupeane mawazo kwamba hivi ni nani anaeinjoi mapenzi zaidi ya mwenzake kati ya:
1)-MAMA MWENYE NYUMBA
-ambaye ndo mke wako wa ndoa
-ambaye ndo yuko responsible bega kwa bega na wewe katika kuikuza familia
-ambaye anavumilia kwa hali yoyote ile muda wowote ule utakao amua kurudi
-ambaye muda wote wa usiku wa giza anakuwa na mawazo kibao kwamba ''mume wangu amepatwa na nini''
-ni mke wako ''enewei'' na she is entitled to whatever is brought for the family
-ambaye utakata roho ukiwa mikononi mwake
2)-MPANGO WA NJE.
-she is entitled to kampani,route na vikao vyote vya pombe/movie etc
-anapewa nafasi ya kuagiza chochote anachotaka mkiwa baa
-anapewa nafasi ya kupelekwa shoping na kujiagizia chochote
-anakuwa na uhakika wa credits,means za tranzport (hata kumrash home kila siku sio ishu)
-anapewa nafasi adimu ya kuchat na wewe 24/7
-anapewa nafasi ya kudeka anavyotaka
-anapewa nafasi ya kunisindikiza arusha kuungana na pakajimi na kampani kubwa ya jf ya ARACHUGA
TUSAIDIANE HAPO MAWAZO,who is enjoying?
....and why?