Huyo rafiki tupa kule! Hicho ki-playboy tupa kulee! Kwani nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyo rafiki tupa kule! Hicho ki-playboy tupa kulee! Kwani nini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Teamo, Jun 16, 2011.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  YAANI KWAMBA....!
  binti anamuintroduce rafikiye kwa mchumba wake (ambaye tayari wanaahadi za kuoana na pete za uchumba washavishana)....

  katika mazingira ya kustaajabisha sana huyo mwanaume anamuapproach rafiki wa mchumba wake na wanaanza mapenzi MARA MOJA (kama mchakato wa simbion kuinunua dowans).....!finally mwenye mali 'binti' anahisi kitu,anachoshindwa ni justifications!

  kama kawaida ya penzi kuwa ''kikohozi'' (kwa wale ambao si wazoefu),siku ya birthday ya mwanaume yule ''rafiki'' wa binti anamletea zawadi mchumba wa shoga yake!..zawadi ya C-H-U-P-I aina ya BOXER na pakiti kadhaa za ''studded for maximum pleasure''....!THIS WAS A SHOCK OF DECADE!......!

  ANGALIZO:ninyi wa kina dada ninyi jaribuni kuwa na roho za kibinadamu!unawezaje kutembea na b/f wa shoga yako?halaf kama haitoshi unataka kuhakikisha wanaachana ili wewe ukabe nafasi?....hujui kwamba na wewe utaondoka kwa staili hiyo hiyo?...NASEMA HIVI...RAFIKI WA NAMNA HIYO TUPA KULEEEEEE KWENYE DUSTBIN!

  na wewe kidume unaejiona unawamdu saaana wanawake wewe.....!CRAAP YOU!unamvalisha mtu pete haalafu unatembea na rafiki yake!SHAME ON YOU!......kwani kuoa lazima?kwanini ujicommit kwenye mahusiano ya kudumu wakati bado una chembechembe za UJANA?MABOOIFRIEND WA NAMNA HII TUPA KULEEEEEEE!...holy crap!

  NDO HIVO.....!TUPA KULEEE!ni mwendo wa kujivua gamba huu!kil mtu alizaliwa peke yake na maisha yataendelea kama kawaida!

  AMANI IWE NANYI
   
 2. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133

  Daaahhh!!............. Kwema lakini???
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kwema sana mkuu....!

  kuna umuhimu wa kuwapima vijana akili.....!
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Yeah..... "With Friends Like That, Who Needs an Enemy....."
   
 5. Dinnah

  Dinnah JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tupa kulee wadanganyifu wote
   
 6. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Kwa kujifari mwenyewe kwamba "it wasnt meant to be"
   
 7. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Mkuu kwanza KOSA sio wasichana hata siku moja, Kosa ni huyu jamaa...ATAKUWA ni LAME wa kutupwa huyu, kwani hata kama ni cheating lazima ulambe rafiki wa mchumba ako? Hii inatokea sana kwa wanaume MALAMES...playaz always hachukui jirani au rafiki wa msichana wake for some reasons kama hizi....
   
 8. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  kwa kweli hakuna
   
 9. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa ni hulka yake hata kwa huyo mpya atamcheat tu
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  sasa wenyewe wanajiita playaaz sijui pleaaz....!VYOVYOTE VILE...TUPA KULE

  na hicho kidem dem dah!TUPA KULEEEE
   
 11. EvJ

  EvJ JF-Expert Member

  #11
  Jun 16, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  jaman katabia haka kamezd.
   
 12. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #12
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Washikaji wa tabia hizo tupa mbali!
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  wakina dada ''baadhi'' wana roho mbaya sana....au sijui ndio mapenzi mnasema vijana....?
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  TUPA KULE....!
  sio lazima uwe na marafiki...
   
 15. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #15
  Jun 16, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,797
  Trophy Points: 280
  kumbuka uchumba siyo ndoa.................................................halafu kama amegutuka dakika za mwisho mwisho ya kuwa kumbe mdada yule alikuwa anmwingiza mkenge...........................kwanini njemba isifanye maamuzi murua ambayo hawezi kuyajutia..................................lol..........................wakati mwingine inalazimu uache mbachao kwa msalao upitao.........ili ukajionee mwenyewe kulikoni kusubiri kusimuliwa.......................................lol
   
 16. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #16
  Jun 16, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,797
  Trophy Points: 280
  siyo lazima Shantel............................jamaa kagutukia zabuni kuwa haina mashiko sasa afanyaje....................uchumbe ni ahadi ambayo siyo lazima itekelezeke......it is just a promise to marry but not necessarily one is already committed...............................kwa hiyo kuangaza-angaza rukhsa kabisa hapo............
   
 17. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #17
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Utatupa ngapi veve sasa?
   
 18. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #18
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Wasichana wanawapenda sana wanaume wadanganyifu huwa hajali ilimradi awe nae hatari sana
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Yule kamata tupa kule

  Acha ankal wangu akae hapa

  Salamu kwa Kimey na wanafunzi wote wa Tumaini Yunivasite.

  Tarehe 26 iko ukingoni.
   
 20. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #20
  Jun 16, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  hommie, UKITUPA KULEEEEE, sie wengine twaokota,
  tunawapenda kweli hao broken hearted,
  wewe ukitaka kutupa tu, sie twasema LETA HUKUUUUUUUUU................
   
Loading...