To ''love'' and ''feel loved''...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

To ''love'' and ''feel loved''...!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Teamo, May 16, 2011.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Wakuu wangu wana MMU salama?
  Nimewamiss sana kwa kweli....!TUPO PAMOJA

  KUNA KITU NAJIULIZA SANA for some three/four days now

  -Kwamba wakati mwingine inatokea ''YOU LOVE SOMEONE'' lakini ''YOU DON'T FEEL LOVED''.hili naona kama linataka kuleta shida kidogo.

  -Sasa najaribu kuelewa ninachokifikiri lakini nashindwa kidogo....!

  For sometime niliwahi kuamini na ninaamini hivyo 'LOVE IS TO GIVE/LOVE IS OF MORE GIVING AND BEING/GETTING READY TO SUFFER'.

  Kama seriously tunazungumzia love kwa maana ya love msemo huu unathibitishwa ''kiimani'' na YESU MWENYEWE pale alipoyatoa maisha yake kwa ajili yetu.

  Lakini pia tunaona (kwa sisi wazazi) how much we give to our kids ili wapate mafanikio kielimu,kiimani kiafya na maswala yote muhimu.

  Najaribu kutafakari what if wazazi wetu/au sisi kama wazazi tungehitaji '' FEELING LOVED' after giving so much to our kids.

  -Wakuu mimi nawauliza kwenye malovee haya ambayo yanatutesa 24/7 DO WE NEED TO LOVE AND FEEL LOVED SIMULTANEOUSLY?

  binafsi naona kama dah!
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  me love you....habari yake bana....
   
 3. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa ulichosema mkuu inakuwa ngumu kidogo kufeel loved
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  A person ambaye yuko so in loooove... acha hii love ambayo wengi hu feel, nazungumzia ile intensive love.... Huwa wana so much love mpaka inatosha for both of them. A person in love is so consumed by the love s/he feels mpaka there is no need for him/her to feel loved... Huyu mtu haoni wala humwambii kitu juu ya huyo ampendae.... Hata kama kasoro zipo wazi na anaendeshwa....
   
 5. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mapenzi vionjo mkubwa, ile tunasema nipe nikupe! Hutokea mtu akapenda na asione or asionyeshwe kupendwa pia.. So hapo ni kujiongeza mwenyewe coz HAKUNA MAPENZI HAPO, NA KAMA YAPO BASI SIO STAHILI UPASWAYO. Kumbuka ktk mapenz mafisadi wapo pia!
   
 6. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,806
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  hahahahha.........umedata wewe!
   
 7. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #7
  May 16, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  I second you on this Asha.
  Ukimpenda mtu kiukweli yaani ile sana,you will automatically feel loved.
  Yaani yale mapenzi unayotoa yanatosha kukufanya uhisi kuwa unapendwa.
  Huoni wala husikii mabaya yoyote ya huyo mpendae.

  Kama alivyosema Mfalme wa Amani kwenye mfano wa sisi wazazi
  Ni kwamba kwa sababu unampenda sana huyo mtoto you will do anything for her na kuendelea kwako kufanya hivyo means that you feel loved back,otherwise kama ilivyo kwenye haya mapenzi ya kisasa,mzazi pia angestop/angepunguza mapenzi kwa mtoto pale ambapo angehisi hayuko loved back. Na ndio sababu mapenzi ya kisasa yanaona kasoro/mapungufu cause the love u give is not too stong to recipricate itself.
   
 8. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #8
  May 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mi zis love ya nowdaiz hata sielewe weza ni love au ni maigizo,sanaa au kumaliza haja zako,love gani zimejaa uchakachuaji tu?yani hakuna mwenye unafuu si wanawake nor wanaume wote tu tunalizwa daily,love gani kuendeana kwa waganga?yani watu hasa(wanawake,zo kuna wanaume pia)kuroga tu daily yani uko na mtu in a relationship lkn hata huelewi kesho itakuwaje maana wengine wanakesha kukuchukulia huyo huyo mmojaako,duh love bana we acha tu.wapo wanaopendwa lkn hawapendeki,wapo wanaopendwa na wala hawajui kama wanapendwa wala kuthamini pendo hilo.
   
 9. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #9
  May 16, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,806
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280

  Mkuu!!
  Kuwa makini usichanganye mambo.
  Naona hapo umeanza kukoroga mambo inaweza kukuchanganya zaidi. Ingawa upendo unaoongelewa ni uleule lakini fahamu kuwa;

  Upendo wa jumla wa kumpenda Mwanadam mwenzako no matter yukoje-huo ndio anaouzungumzia Yesu

  Upendo wa Mzazi kwa mtoto huo nao uko kivyake na applications zinatofautiana pia, mtoto its almost like a part of you, sasa sijui ukiupaka mwili wako mafuta mazuri na pafyum sijui unategemea ukulipe vipi kwa upendo ulioufanyia. (upendo wa aina hii ni kama sehemu ya jukumu lako pasipo kutarajia malipo ya upendo kiviiiiileeeee)

  Upendo kwa Wazazi nao pia hauwezi kufanana na ule unaoutoa kwa watoto wako, japo nao ni kama sehemu ya jukumu lako la kuwajali wazazi wako na hata kama hawatarudisha mapenzi kwako lakini inakulazim kutenda tu coz ndio wazazi wako.

  Upendo wa rafiki wa kawaida hasa wa jinsia moja na wewe haulingani na mwingine wowote pia, huu hutagemeana kushibana(mnaelewana katika mambo mbalimbali ya kimaisha). Huu sasa hutegemea fadhira zaidi kwa unalotenda kwa mwenzio vinginevyo huu kama unalegalega huwa unakufa.

  Upendo wa Mpenzi sasa, huu bwana ndio wenye songombingo balaa, na huu wengi wetu unatuchanganya sana na tena unaweza kuvuru hata upendo mwingine wowote unaotuzunguka. Huu unahusisha hisia, mahitaji ya kimwili na unaenda mbali zaidi hata kutaka binadam mwingine kama wewe na mwenye akili zake na maamuzi yake aishi kama wewe unavyotaka na si kama wewe unavyoishi labda(nielewe vizuri hapo). Kinyume na matakwa hayo hayo ndio inaonekana unampenda lakini yeye hajali(nimeelezea kwa kifupi tu)

  Haya, hayo ni ya kwangu changanya na yako sasa......!

  .
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  May 16, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,178
  Trophy Points: 280
  Hili somo linahitaji kufafanuliwa kwa matendo zaidi ya maneno.

  Big braza ODM analazimika kuja Usalule.

  Kijana Teamo Ti......naja kuthibitisha Upendo wa Agape kwa vitendo.
   
 11. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #11
  May 16, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Kumbukeni ukipenda sana utajisahau kama unapendwa au lah kwa kipimo cha mapenzi kitakuwa kimeangukia upande mmoja!!In that means you can't eq'liz the love in between!!kwani wewe utakuwa umeelemewa na penzi!
   
 12. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #12
  May 16, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Teamo
  Hili swali ni gumu kusema ukweli. Katika muda wote niliokaa mie kwenye hiki chumba kiitwacho mapenzi nadhani ni afadhali ukaconcentrate kwenye kulove than to feel loved ........kwa sababu ukiangalia maudhi, vyanzo vyote vya matatizo katika mahusiano utaona yanatokea baada ya mtu ku-critically analyze kama anapendwa au lah............
  .ukiigundua kuwa mwenzako hakurespect unaconclude kuwa - you are not being loved
  Ukigundua mwenzio anacheat (hata kama ni kwa bahati mbaya!)- Unaconclude kuwa you are not being loved
  Ukigundua mwenzio kakukosea kidogo/ hajatimiza majukumu yake - unakimbilia you are not being loved

  To me I think it is better to feel love than feel loved, to give than receive.
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  May 16, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mkuu!
  Wonderful!
  Nakupa hongera sana kwa kutumia muda wako kutafakari mapenzi kwa undani huu unaoufikiria!
  Ni bahati mbaya sana kuwa wengi wetu tunawaza mapenzi/Love 24/7, lakini tunawaza jinsi ya kuyapata tu na kufurahishwa, lakini si kwa depths ambazo Teamo anajaribu kuumiza nazo kichwa!

  Nionavyo mimi, Loving and Feeling Loved ni relative to some condition, yaani inategemea context!
  Kwa mtoto mdogo au mchanga , what we do is just Loving him/her too much, and we dont expect Feeling Loved in exchange!
  Lakini, pale anapokua na ku'mature, tunaanza kutegemea mtoto ku.appreciate love aliyopewa, na kuanza Loving back, na hivyo sisi inreturn kujisikia SoooLoved!

  Kwa habari ya Mwandani, its a different Matter...!
  Hapa inatakiwa Vyote viende sambaba, Loving na Feeling sooo Loved!
  Timing inaweza isiwe sawa kwa matendo hayo mawili, lakini at least viwe co-existing!
  There will be time when you are loved , but you dont Feel it!
  There are time you Feel so loved, but you dont Love(Down Times in Life)

  Teamo, hii ni SAYANSI ya juu sana ya MAPENZI!, ambayo kimjini watu hawana TIME nayo, mambo yote ni MKWANJA zaidi.
  Kuna watu ambao wanatumia hela kupenda, na pia wanamwaga fedha kujisikis wanapendwa!

  Really you have brought a very complex Love Equation!
  Big Up!
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  May 16, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  nawashukuru sana wote mliochangia hapo juu....!

  big ups mingi kwa daughter,piijeei,mj1,asprine,kakakiiza,pearl,asha d,prettiest,saidally et al

  ninafikiria sana na ninaumia sana ninapoona ''to some people,making love seem difficult...THEY HURT EACH OTHER BECAUSE ONE OF THE TWO THINKS THAT HE/SHE GIVES A LOTS,but yet no hopes,no sincere...''...sasa najaribu kuuliza tena kwamba when we love/make love ni lazima tutegemee ''a pay back?''
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  May 16, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,178
  Trophy Points: 280
  We Msichana...Mfalme wa Amani Teamo Ti anazungumzia Upendo wa Agape hapa, siyo wa Kitandani.

  Haya hebu msome tena.

   
 16. CPU

  CPU JF Gold Member

  #16
  May 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hapa umenigusa sana Mkuu
  " . . . . uishi kama ninavyotaka na si kama NINAVYOISHI . . . "
  Umeelezea vizuri sana aisee
  Ngoja ni-print . . . .
   
 17. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #17
  May 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Shikamoo Teamo

  duhhh ntarudi baadaye kidogo
   
 18. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #18
  May 16, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  WE DAWA....!

  kitandani hakuna upendo....!

  sex sio UPENDO ndugu

  mimi ninavyoamini ni kwamba SEX/SEXUAL INTERCOURSE ni moja kati ya vichocheo vya mapenzi...!lakini SIO MAPENZI
   
 19. CPU

  CPU JF Gold Member

  #19
  May 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mapenzi hayana malipo . . . .
  Upendo haupaswi uwe wa visasi (yaani mi nikikununulia saa, na wewe unaninunulia simu halafu ndo huniletei chochote tena mpaka nikufanyie kingine!!! Huu ni upendo feki)
  Said kasema hapo juu, umeupaka mwili wako mafuta ya bei mbaya na perfume, unataka ukulipe nini sasa?? Sana sana utakupa kazi nyingine ya kuupaka tena mafuta kesho yake.

  Pia hata kutoa msaada hupaswi kuwazia PAY BACK
  Yote tunayofanya kwa upendo hapa duniani Mungu ndiye anatulipa kupitia kazi zetu tunazofanya, na hata bahati mbalimbali ktk maisha yetu.
  Mi najisikia raha sana kusaidia mwanadamu mwenzangu.
   
 20. CPU

  CPU JF Gold Member

  #20
  May 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  We extension kebo
  Siku hizi naona hata hiyo SEX/SEXUAL INTERCOURSE kuonekana kama moja kati ya vichocheo vya mapenzi imeshachuja sana. Badala yake imebaki tu kuwa SEX as SEX
   
Loading...