MJADALA: Kwanini wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko wanaume? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MJADALA: Kwanini wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko wanaume?

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Teamo, Jun 20, 2011.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Maswali:

  Salaam wakuu wangu....!

  It's been looong tyme since i posted a thread herein lakin haina mbaya kiviile manake makamanda mnawakilisha kama ilivyo ada...!

  STRAIGHT TO THE TOPIC:...

  nimeangalia sana kwa uchunguzi wangu wa muda mrefu nikagundua kuwa:

  1) Asilimia kubwa sana ya wanawake wanaandamwa na majini/mashetani/mizimu/mapepo....! Hii nimeifuatilia sana kuanzia makanisani, misikitini, hadi uraiani kwenye maisha ya kawaida ya kiswazi.

  2) Wanawake ndo watu pekee wenye hofu ya mwenyezi Mungu..(makanisani wamejaa wao, misikitini, mikutano ya injili, jumuiya ndogondogo n.k)

  Sasa mi nashindwa kuelewa wala kuziunganisha hizo hoja mbili hapo juu..

  Mnisaidie wakuu....!

  ANGALIZO: Sina ni yoyote ya kuwa-humiliate wanawake
   
 2. M

  Mbuyi Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 13
  Naomba nijaribu, (kama nakosea au kuwakwaza watu natanguliza kuomba msamaha!)

  Shetani
  anatumia udhaifu mwanamke tokea kuumbwa kwake! Nathibitisha; Kwanza naomba tuwe na Biblia kwenye majibu yangu. Tusome Mwanzo 2:18,12; Mwanamke aliletwa ili awe msaidizi(company) kwa mwanaume(koz ya kuwa weak no.1). Soma Mwanzo 3:1-6,13 Hapa inaonyesha, nyoka(ibilisi) anajua mwanamke ni dhaifu na hajiamini hivyo ndo alikuwa wa kwanza kufanikiwa kumdanganya!(weakness no.2), bado Soma Mwanzo3:15 kuwekwa uadui kati ya nyoka(ibilisi) na mwanamke (koz no3) Soma Mwanzo 3:16 haswa sehemu b, ananyimwa utawala so weakened even the more! (koz no.4).

  Tuhame hapo, twende Mwanzo 6:1-3;' Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,wana wa Mungu waliwaona hao binti wa wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua. BWANA Mungu akasema Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele!.............'

  Hapa inaonyesha Mungu alichukizwa na mchanganyo huu maana watu wake(wenye maadili na kufuata sheria zake) wanaingia kwa mabinti wa wanadamu(wasiokuwa na hofu ya Mungu, hivyo ulinzi hawana kwa kufuata mila a matambiko yao, hivyo ni wazi wana mapepo) kwani huko mbele inaonyesha jinsi walivomuasi Mungu hata akakifutilia mbali kizazi hicho kwa gharika kasoro Nuhu tu na wanawe.

  Hapa naonyesha shetani alipitia kwa watoto wa kike wa wanadamu. (Soma Kumbu 7:3,4 wanavyokatazwa kujichanganya. na sababu zake). Kwa kifupi ; kwa vile wanawake kwa ujumla wao hawana confidence hasa katika kumiliki, wamejikuta wanaingia mikataba mingi(kwa hiyari au kuingizwa aidha kwa kulazimishwa/ kulazimika ama wakiwa bado wadogo na wazazi wao na haswa wa kike awe mama,bibi, shangazi, nyakanga n.k) au yeye mwenyewe kwa kutaka kumiliki say mume, nyumba, utawala n.k) na yule muovu shetani!

  Ikumbukwe kuwa Ibilisi amewekewa uadui na mwanamke, hivyo kila siku yuko bize kutaka kumuingia mwanamke, sasa anapojipeleka mwenyewe ili apate utawala, shetani anamuingia 'in four' tena mbaya zaidi anapitiliza mpaka ktk uzao wake.

  Nijibu kuhusu wazungu au kwa ujumla walioendelea na wasomi, kwa kifupi hawa wengi wameachana na mila potofu, hivyo hawajiingizi kwenye mikataba hii, lakini akijiingiza tu shetani anaye haijalishi msomi, mzungu,wala mhindi, si tunawaona!

  Kwa leo naishia hapa, narudia kama nimewakwaza wengine, naomba msamaha, lakini kama umeinuliwa nakukaribisha tukate huo mnyororo wa laana kwa ajili ya watoto wako wa kike! Kuna mkataba mwingine ni wa damu, hii somo lake siku nyingin.
   
 3. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Naangalia kipindi cha utakaso kwenye Emmanuel TV (monday service ya (T.B Joshua).kwa mtazamo wangu naona idadi kubwa ya viumbe wanaosumbuliwa na mapepo ni kina mama na mabinti. Sijui kwa nini inakuwa hivi? Wenye ufahamu tafadhali!
   
 4. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,988
  Likes Received: 20,391
  Trophy Points: 280
  Huko Nigeria umeenda mbali sana mkuu, huwa nawaangalia 'mtume' na nabii' Mwingira, yaana asilimia kubwa ya wanaokutwa na mapepo ni kina dada na mama, huwa nashindwa kabisa na kituko huwa pale 'anapoamurisha' mpepo yatoke na watu kuanguka, wanaume wengi huwa hawaanguki ukilinganisha na kina mama na dada.

  Inanichanganya sana lakini mwisho wa siku, ni fumbo la imani
   
 5. katabu

  katabu JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Si kweli, ila mabint na hao kina mama wanatumia vitu vingi vinavyowavutia mapepo kuwa marafiki zao: Mapepo wanapenda sana mahali pachafu kama, Kuvaaa mawigi, nguo za kikahaba kama vipedo na matiti wazi vyote hivyo ni vivutio kwa mapepo.
   
 6. katabu

  katabu JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Bado jibu langu halitakuwa tofauti lakini naomba kwanza kukuondolea shaka juu ya kubaki kwa fumbo la Imani. Kila mtu awe dada au kaka kama ana pepo mara nyinhi huanguka chini,kisha pepo humtoka. Swala la wadada wengi kuanguka ni kwa sababu wanatumia vitu vingi vya mapepo. Mfano mzuri sana ni pafyum kali sana lakini pia nguo nyingi wanazovaa zina mvuto kwa majini-referring to Wanajimu watakueleza.
   
 7. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Basi wazungu na orientals pamoja na wote wanaoenda beach, watakuwa wanapata mapepo, aah??? Kipindi cha majira ya joto, mapaja nje nje, mbona hawana mapepo kama wa huko bongo?
   
 8. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Kwa kuongezea swali lako, mimi kwa Tanzania, sijawahi kuona watu waliotoka kwenye familia zenye kipato kizuri, wakiwa na mapepo/mashetani. Wote nilioshuhudia, wanatoka katika familia fulani ambazo zipo duni ama kwenye kipato au kwenye elimu. Sijui kama wengine wameona hivi.

  Halafu dalili nyingi za watu wenye mapepo/mashetani zinafanana sana na psychiatric disorder inayoitwa "Dissociative Identity disorder-DID" au zamani ikiitwa "multiple personality disorder MPD". Disorder hii kwa nchi za wenzetu, huwapata baadhi ya waliokuwa abused utotoni. Tiba zake ni Psychological treatment including hypnosis. Basically hata tiba ya imani (kwa maoni yangu) ni psychological treatment. Inawezekana pia wanawake wa kiafrika TZ ikiwemo, wengi wao kutoka kwenye familia duni have been abused in one way or another ambayo ndio inapelekea DID. Ila kwa vile tunaamini sana ushirikina katika jamii zetu, sisi tunaona ni mapepo. Kwa shule zaidi kuhusu DID/MPD, get it from google.com.
   
 9. m

  mhondo JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Inawezekana pia wao ndiyo wanaenda sana kwa waganga wa kienyeji kwahiyo wanayapata uko.
   
 10. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Very funny!!!!
  Kama huu ndo mtazamo wako au wenu mnaoamini hayo mambo, basi ipo kazi!!!
   
 11. c

  chumakipate Member

  #11
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Asante ngoshwe
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mti wenye Matunda ndio urushiwao mawe, na mwamba wenye madini ndio huchorongwa!...nadhani nimeeleweka!
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Hahahha Teamo bana!

  ngoja nikupe siri, wanawake wengine huwa si mapepo ni hysteria tu. Shtuka
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wanawake wote wana mapepo....
  inasemekana wanapokuwa kwenye periods ndo mapepo huwaingia

  ile damu chafu inawavuta mapepo

  ndo maana kuna madhehebu mwanamke akiwa kwenye siku zake hatakiwi kutembea tembea..

  na siku zikiisha,anatakiwa afanye maombi maalum

  na wengine wakiwa kwenye siku wanakuwa na mood swings ,yote hayo sababu ya mapepo...
   
 15. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #15
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Huuuh! makubwa!
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wewe ni atheists sio?
  huwezi elewa haya....
  eti stuka,huachi kabisa naona ..
   
 17. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #17
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  @Boss
  huyu ni wewe au kivuli chako?
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mada inahusu mapepo
  na mimi nimejibu kuwa 'inasemekana'
  huelewi nini hapo?
   
 19. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #19
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Boss hebu kuwa muwazi hueleweki

  Wanawake wengi wanapata hysteria na kwa sie tusojua sayansi husika tunafikiri mapepo.

  Hiyo ya wanawake wote wanavutia mapepo ndo naipata kwako......nieleweshe :]
   
 20. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #20
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Umeanza na "wanawake wote wana mapepo" kisha ndo ikaja inasemekana

  Sasa mimi nataka hapo wewe ulipokuwa na uhakika .....:]
   
Loading...