Kushiriki chakula na familia: Ushauri kutoka kwa Teamo

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,036
Habari zenu binafsi?!....

Awali ya yote napenda sana kumshukuru sana MAANANI,kwani ni yeye pekee anaetuweka mimi na wewe DUNIANI.Natumia Fursa hii adimu kuwashukuru sana wetu mimi na wewe WAZAZI,kwa kazi ngumu ya kutuleta sisi DUNIANI

STRAIGHT KWENYE HOJA:
TEAMO anawashauri wakina baba wenye familia zenu kujijengea tabia ya KUSHIRIKI chakula cha pamoja na FAMILIA walau mara nne kwa wiki (MSISITIZO:walau mara nne kwa wiki).Wikileaks imegundua kwamba manung'uniko ya hapa na pale ya WAKE ZETU yanachangiwa sana na ''ushiriki finyu'' wa chakula cha pamoja na familia.

TEAMO anawapenda sana na anazijali sana ndoa zenu ndio maana anasema kupunguza kutokuelewana kwa hapa na pale katika familia tujaribu kushiriki pamoja na mama na watoto walau hata DINNER tatu kwa wiki na LUNCH moja weekend.

TEAMO anaamini kwamba wakati mwingine MAPENZI NA FAMILIA ZETU huamshwa na kuanzia mezani.kwa kufanya hivi tutajipunguzia possibilities za kujilimbikizia infiiz ''unnecessarily''.Tutawafanya wake zetu kuwa MIPANGO YOTE,yaani mpango mzima na mpango wa kando anakuwa yeye mwenyewe...

TEAMO IS STANDING TO BE CORRECTED

Yours' Sincerely,
TEAMO aka BABA G
 
Sio kama hatupendi ishu ni foleni....
ukifika home watoto wameshalala...!!
 
Baada ya kusoma bandiko lako Teamo nimelifanyia utafiti wa KIINTELIJENSIA na kugundua kuwa familia maana yake ni BMW-BABA MAMA NA WATOTO. Ijulikane kuwa meza/dinner inapomkosa yeyote kati ya hao basi lazima wanaobakia wajiulize yuko wapi, especially kama sababu za kukosekana huko haziko bayana au hazitoshelezi...tunayo nafasi ya kuondoa masononeko yasiyo ya lazima kwa naniliu wetu..
 
Baada ya kusoma bandiko lako Teamo nimelifanyia utafiti wa KIINTELIJENSIA na kugundua kuwa familia maana yake ni BMW-BABA MAMA NA WATOTO. Ijulikane kuwa meza inapomkosa yeyote kati ya hao basi lazima wanaobakia wajiulize yuko wapi, especially kama sababu za kukosekana huko hazitoshelezi...
lakin mkuu swala la watoto lisiharibu utaratibu.....!
smthng can be done kuweka watoto waizunguke ile meza.

kinachoangaliwa kwa zaidi hapo ni NDOA yenyewe
 
ndo maana nikashauri walau mara chache kwa wiki moja

Nshapiga valuu zangu, nakutana na wali kwa samaki aliyeungwa kwa nazi.

Kutapika mbele ya watoto ni heshima mbaya kwa mzazi.

Ushauri wako mzuri, binafsi ntauzingatia kwa msaada wako kama ifuatavyo:
Usiwe unanipigia simu na kuniuliza "Leo hutoki"?
Mwambie Baba Enock asiwe ananipa salamu za Emmy
Mwambie Generation Y asiwe ananitafutia sababu kwa maswali ya kichokozi kama "bia na mshahara kipi kitamu"
Listi itaendela shortly....
 
hahaha hii mutu wapi ipo? ina brake them heart nini?
 
Nshapiga valuu zangu, nakutana na wali kwa samaki aliyeungwa kwa nazi.

Kutapika mbele ya watoto ni heshima mbaya kwa mzazi.

Ushauri wako mzuri, binafsi ntauzingatia kwa msaada wako kama ifuatavyo:
Usiwe unanipigia simu na kuniuliza "Leo hutoki"?
Mwambie Baba Enock asiwe ananipa salamu za Emmy
Mwambie Generation Y asiwe ananitafutia sababu kwa maswali ya kichokozi kama "bia na mshahara kipi kitamu"
Listi itaendela shortly....
hahahahaha!
mkuu ukisoma kwa makini utagundua kuwa WALAU MILO MITATU AU MINNE KWA WIKI....!so you may be having a time with BE,TEAMO,GY et al.

to me,kuwatelekeza kabisa moja kwa moja because of friends NAONA KAMA SIO FAIR
 
teh teh ...
leo aumtak eliza?
nguo zako zimelowekwa?
 
Teamo ushauri mzuri sana bravo:A S thumbs_up:

Sasa sheshe ni utekelezaji ndio vurugu mechi. si unaona Kimey keshakupa sababu??
 
hahahahaha!
mkuu ukisoma kwa makini utagundua kuwa WALAU MILO MITATU AU MINNE KWA WIKI....!so you may be having a time with BE,TEAMO,GY et al.

to me,kuwatelekeza kabisa moja kwa moja because of friends NAONA KAMA SIO FAIR

Sasa we unajua sijatia msosi na Matesha yapata siku tano.

Ikifika saa moja unanipigia unanambia 'njoo hapa King Star bana'
Kesho ananipigia mutu ya Kongo papaa Kasibeti,
Kesho kutwa napewa salamu za Emmy na B_E, na kama unavyojua Emmy hana simu...
Siku inayofuata DEUSI ananiambia kuna bia mbili zinanisubiri
Siku nyingine sababu ya wapwa kumsalimia Eliza pale JJ
Then kuna kamati ndogo inahitaji ulezi wangu
Siku nyingine Kiu inanishinda
Zimebaki siku ngapi hapo kwa wiki?
 
Teamo ushauri mzuri sana bravo:A S thumbs_up:

Sasa sheshe ni utekelezaji ndio vurugu mechi. si unaona Kimey keshakupa sababu??
HEHEHE!
ni ukweli unaohuzunisha sana

lakini ni lazima tuukabili kwa namna yoyote ile

hakuna kitu kibaya kwa baba wa familia kuishi kama INVISIBLE
 
Sasa we unajua sijatia msosi na Matesha yapata siku tano.

Ikifika saa moja unanipigia unanambia 'njoo hapa King Star bana'
Kesho ananipigia mutu ya Kongo papaa Kasibeti,
Kesho kutwa napewa salamu za Emmy na B_E, na kama unavyojua Emmy hana simu...
Siku inayofuata DEUSI ananiambia kuna bia mbili zinanisubiri
Siku nyingine sababu ya wapwa kumsalimia Eliza pale JJ
Then kuna kamati ndogo inahitaji ulezi wangu
Siku nyingine Kiu inanishinda
Zimebaki siku ngapi hapo kwa wiki?
HAHAHAHA!
sasa hizo bolded hizo unaweza zirisk
 
TEAMO anaamini kwamba wakati mwingine MAPENZI NA FAMILIA ZETU huamshwa na kuanzia mezani.kwa kufanya hivi tutajipunguzia possibilities za kujilimbikizia infiiz ''unnecessarily''.Tutawafanya wake zetu kuwa MIPANGO YOTE,yaani mpango mzima na mpango wa kando anakuwa yeye mwenyewe...

Hivi kumbe hii TEAMO inawezekana eeeh?
 
habari zenu binafsi?!....

Awali ya yote napenda sana kumshukuru sana maanani,kwani ni yeye pekee anaetuweka mimi na wewe duniani.natumia fursa hii adimu kuwashukuru sana wetu mimi na wewe wazazi,kwa kazi ngumu ya kutuleta sisi duniani

straight kwenye hoja:
teamo anawashauri wakina baba wenye familia zenu kujijengea tabia ya kushiriki chakula cha pamoja na familia walau mara nne kwa wiki (msisitizo:walau mara nne kwa wiki).wikileaks imegundua kwamba manung'uniko ya hapa na pale ya wake zetu yanachangiwa sana na ''ushiriki finyu'' wa chakula cha pamoja na familia.

teamo anawapenda sana na anazijali sana ndoa zenu ndio maana anasema kupunguza kutokuelewana kwa hapa na pale katika familia tujaribu kushiriki pamoja na mama na watoto walau hata dinner tatu kwa wiki na lunch moja weekend.

teamo anaamini kwamba wakati mwingine mapenzi na familia zetu huamshwa na kuanzia mezani.kwa kufanya hivi tutajipunguzia possibilities za kujilimbikizia infiiz ''unnecessarily''.tutawafanya wake zetu kuwa mipango yote,yaani mpango mzima na mpango wa kando anakuwa yeye mwenyewe...

teamo is standing to be corrected

yours' sincerely,
teamo aka baba g

sababu nyingine ya kukutana kwa eliza leo na kujadili hili suala bila kusahau serengeti za vuguvugu na valuu za moto
 
Back
Top Bottom