''USANII'' na WAPENZI WETU/WAKO...tukumbushane!

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
MMU NIAJEEE?!....

BIYEEE?!............

mliwasiiimaaaaa?!....

Mimi nimekuja hapa jamvini kuwaomba tukumbushane ''usanii'' wa wapenzi wetu enzii hiizooooooooooo...!kuna tumaneno twa kisanii sanii wanawake hupenda sana kututumia pindi wanapokuwa kwenye mapenzi na wanaume wao..na hasa hasa kama wameshakutana kimwili.Mi nimezeeka kidogo sasa lakini nimetukumbuka hutu tuneno nikaona nituweke hapa jamvini kwa minajili ya:


  • kukumbushana/kucheka kidogo
  • kuwaomba dada zetu mseme ni kwanin mlikuwa mnatufanyia usanii huu?
  • na labda pengine vijana wa sasa kuna maneno mengine ya kijanja janja ambayo kizazi hichi cha mkonga kimeyavumbua kwa ito na sisi mtueleweshe

sasa bila kupoteza muda naweka hizi kauli ''mtambuka'' za wanawake pindi wakishazama ''mapenzini''


1. Kwa kuwa umepata ulichokuwa unakitaka...sasa unaniona sina maana tena.

2. Wewe unataka kunichezea tu. Hauna malengo na mimi​

3. Sina boyfriend ila cpo tayr kuwa na ww kwa sasa
4. Nataka unipe pesa leo, lazima nisolve hii problem leo siwezi kusubiri kesho.

5. Baby halafu kuna kitu nataka kukwambia! au ah ah mmh eeh aah lakini basi.

6. Katika Wanaume na wewe Mwanamme?

7. Mwanaume mzima unabeep, mi ntafanyaje sasa?



8.WAZEE WENZANGU MPOO?...TUNAWEZA KUENDELEZA LIST HAPA?


au kuna nyingine...

9.Unaniona Mi malaya Kwa Vile Nimekuvulia Wewe

10. Mi Sijakupendea Pesa Nimekupenda wewe KaMA wEWE



HAHAHAHAHA!...

lakini ninyi wakinadada ninyiii....??

kwanin lakini?!

NICE LUNCH WAJAMENI...!

KARIBU TUKUMBUSHANE ENZI HIZO


 
halaf mara zote hivyo viujumbe vilikuwa vinakuja kwa vikaratasi..(simu zilikuwa hazijashika kasi yake)
 
Hii si ilikuwepo hapa juzi, au naota.

Anyway, wewe ndo wa kwanza kukupenda, wengine ilikuwa utoto.
 
1. Kwa kuwa umepata ulichokuwa unakitaka...sasa unaniona sina maana tena.

Hii ilinitokea mimi baada ya kumega mara moja nikapigwa mzinga wa laki 2 dah nikaangalia mlango wa kutokea
 
Teamo umeamkia wapi leo?? Kingstar au nanihino???

Haya bana tunawaambia hivyo sababu na nyie mnatudanganya sana bana
tena kama wewe ndo mpiga sound mzuri sana

Habari yako binafsi
 
"Honey! kama wanaume ni simu basi wewe ni Iphone 4 na waliobakia ni nokia vitochi"............

Hapo jibaba unachekacheka tu kumbe wizi mtupu infakti ndo kwanza karudi kuongezwa protein mwilini na njemba nyengine.
 
"Honey! kama wanaume ni simu basi wewe ni Iphone 4 na waliobakia ni nokia vitochi"............

Hapo jibaba unachekacheka tu kumbe wizi mtupu infakti ndo kwanza karudi kuongezwa protein mwilini na njemba nyengine.
Hehehehe.... Nimetembea dunia nzima nlikuwa nawaona wasichana tu, mpaka nilipokutana na wewe ndo nikajua nini maana ya mrembo............. hii unawaambia mademu wote unaowatongoza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom