Wasalaam wakuu, mpaka muda huu nina huzuni ya nafsi baada ya kuiona maiti ya bajaji iliyogongwa na roli la cement mzinga, njia ile wallah finyu barabara ni mbovu, vyombo vinavyopita pale ni vyenye uzito wa hali ya juu kuliko ubora wa barabara malori ni mengi maswali yamenijaa kichwani najiuliza...
Habari ndugu zangu Mimi si mwandishi mzuri Ila naamini itasomeka tu. Kama kichwa cha habari hapo juu kisemavyo, Kiuhalisia kabisa hapo mwanzo ilikua ni jambo la kawaida sana kusikia mzee fulani anatisha sio wa kumpinga au kumchokoza leo mambo haya yamegeuka tena yamekua na madhara makubwa...
Kiukweli wamepita wasanii wengi Tanzania wenye weredi na ubunifu mkubwa walitunga tungo zenye kubamba haswaa ila katika kizazi hichi tulicho sasa wapo wengi wanafanya vizuri Ila huyu mmakonde Harmonize ni mbunifu kwakweli mimi hii wimbo wake wa MTAJE bila kuangalia ujumbe imetulia sana.
Hali zenu waungwana.
Hili swali huwa najiuliza sana na sipati majibu, hivi hawa watu vitambulisho hivi vimekua ndio kimbilio na nguzo ya utemi kwa wananchi?
Sababu ya swali langu ni jana kipindi narudi nyumbani kufika kituoni magari hakuna; ghafla ikaja daladala ikitangaza nauli 500 katikati...
Namshukuru sana M/MUNGU mwingi wa rehma na baraka kwa kuniwezesha kufikia leo tarehe ambayo kwa uwezo wake nilikuja dunia shukran za dhati ziende kwa wzazi wangu wawili............Wallah nina furaha sana.
Habari zenu wakuu. Kwakweli katika tasnia ya vichekesho hapa bongo wapo vijana wanafanya vizuri sana, kama RINGO na TIN WHITE hawa vijana wanakipaji kwakweli, laiti kama tasnia hii ingewekewa mkazo hawa vijana wangekua mbali sana..kila siku najiuliza tatizo liko wapi mbona hawafiki mbali...
Habari wakuu,
Nchini Singapore kuna utamaduni wa kwamba siku ya kwanza ya kumuingilia mkeo lazima familia yako iwepo,tena wakikuamasisha jinsi ya kuingiliana na kukufundisha mchezo huu,mimi binafsi ingenishinda,je wewe ungeichukuliaje kama nawe ungekua miongoni mwa watu wa mnaofuata utamaduni huo?
Habari wakuu,
Kwako wimbo gani wa mapenzi kila ukiusikiliza, ima uwe wa furaha au huzuni unahisi unakulenga moja kwa moja?
Kwangu mimi wimbo wa Isha mashauzi, NIMLAUMU NANI? unanigusa mno tena nikiusikia namwaga na chozi hasa pale anaposema 'Nimlaumu nani balaa langu mwenyewe, mpenzi...
Habari zenu wapendwa,
Takriban miezi minne sasa nimekua nikisikia matangazo tofauti tofauti yaliyoandaliwa kwaajili ya kuelimisha jamii kwamba SI KILA HOMA NI MALERIA.
Hili linaniumiza kwasababu;
1.Ndugu zetu wengi wamepoteza maisha kwa sababu ya watu kushadadia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.