Je, Mila hii we ungeiweza? Siku ya kwanza kufanya mapenzi na mkeo familia yako lazima iwepo

othiambo

JF-Expert Member
Nov 15, 2014
1,992
2,787
Habari wakuu,

Nchini Singapore kuna utamaduni wa kwamba siku ya kwanza ya kumuingilia mkeo lazima familia yako iwepo,tena wakikuamasisha jinsi ya kuingiliana na kukufundisha mchezo huu,mimi binafsi ingenishinda,je wewe ungeichukuliaje kama nawe ungekua miongoni mwa watu wa mnaofuata utamaduni huo?
 
Raisi hiyo tena madada wakiwa pembeni unapiga saaafi tu wanabaki kupiga makofii Braza noma si mauno hayo.
 
kwao ni kawaida mana washaipractice miaka nenda rudi.huwez kuimagine ije huku ghafla.na ingekuwa kawaida kama ingekuwepo miaka tangu na tangu.
 
Hii kijijini kwetu ilikuwepo miaka ya 90 ila kwa sasa hakuna kutokana na tabia zilivyo badilika kabla hamjaoana mshaanza kitambo kuchunguliana
 
Back
Top Bottom