Yuko wapi Josline wa Wakali Kwanza?

Yuko wapi Josline wa Wakali Kwanza?

othiambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2014
Posts
2,005
Reaction score
2,812
Habari zenu wandgu,leo nimeiskia nymbo ya umewezaje josln ft jide yn ni bonge la ngoma ikanifanya nimkumbk,yup wap now.
 
Jamaa kaokoka sasa ivi anamtumikia Mungu,
Mara ya mwisho nilimwona akifanyiwa interview na Dullah wa planet Bongo (EATV)
alikri waziwazi.
kaoka.
 
Jamaa kaokoka sasa ivi anamtumikia Mungu,
Mara ya mwisho nilimwona akifanyiwa interview na Dullah wa planet Bongo (EATV)
alikri waziwazi.
kaoka.

hua namwona anakula unga kwenye geto moja, huyo aliye okoka ni QJ wa wakali kwanza
 
hiv hko bongo movie ndo chaka la wapotevu wa bongofleva man hata Q-chief nilimuona huko,japo nae ypo kmya mda mrfu.
 
Ila mi naona kutosikika si shida ila shida kama zile walizokuwa wanachuma hawakufanyia cha maana
 
Wapi joslini, wapi jebyy wapi nani yuleeeee ama hao kwanza
 
Joslin mwezi uliopita alikuwa anahojiwa na Clouds Fm kureview albam yake ya zamani
 
Back
Top Bottom