Wimbo gani wa mapenzi ukiusikia unahisi kama umeimbiwa wewe?

othiambo

JF-Expert Member
Nov 15, 2014
1,995
2,795
Habari wakuu,

Kwako wimbo gani wa mapenzi kila ukiusikiliza, ima uwe wa furaha au huzuni unahisi unakulenga moja kwa moja?

Kwangu mimi wimbo wa Isha mashauzi, NIMLAUMU NANI? unanigusa mno tena nikiusikia namwaga na chozi hasa pale anaposema 'Nimlaumu nani balaa langu mwenyewe, mpenzi ameyeyuka ameruka kama mwewe, nimebaki na kiwewe najuta kumchagua yeye''.

JAMANI HUU WIMBO NIMEIMBIWA.
 
Back
Top Bottom