othiambo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 1,992
- 2,787
Habari zenu wakuu. Kwakweli katika tasnia ya vichekesho hapa bongo wapo vijana wanafanya vizuri sana, kama RINGO na TIN WHITE hawa vijana wanakipaji kwakweli, laiti kama tasnia hii ingewekewa mkazo hawa vijana wangekua mbali sana..kila siku najiuliza tatizo liko wapi mbona hawafiki mbali kulingana na vipaji vyao?