othiambo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 1,992
- 2,787
Habari zenu wapendwa,
Takriban miezi minne sasa nimekua nikisikia matangazo tofauti tofauti yaliyoandaliwa kwaajili ya kuelimisha jamii kwamba SI KILA HOMA NI MALERIA.
Hili linaniumiza kwasababu;
1.Ndugu zetu wengi wamepoteza maisha kwa sababu ya watu kushadadia kuitibu maleria wakati mtu anaumwa homa nyingine
2.Watu wengi wamepata ulemavu kwa sindano kali za kuitibu maleria wakati hawaumwi maleria
3.Watoto wengi chini ya miaka 5 wamedumaa kwa magonjwa wasiyoyatibu huku madaktari wakishadadia wana maleria kali sana.
Haya matangazo yananifanya nijiulize hivi zama hizi zimebadilika kunakitu madaktari wamegundua juzijuzi kuhusu huu ugonjwa au?,nasema hili kwakua mimi ni muhanga wa hili nilishameza dawa nyingi za maleria mpaka mwili ukawa sugu,nikipima magonjwa mengine naambiwa sina ila nina maleria.
Hili silitofautishi na lile swala la eti mafuta ya KORIE ni sumu wakati watu tushayatumia sana mpaka tumepata maradhi ya presha,naiomba wizara ya AFYA iwe makini na afya zetu.