Habari wana jf,
Mimi ni binti wa miaka 23. Napenda kuwa model na vigezo ninavyo. Mwenye kujua au anaeweza nisaidia ili niwe model please aje pm [emoji120] [emoji120].
Asante.
Nashindwa kuelewa either ni kutaka kuonekana wazuri mbele ya jamii au nini. Wakati kwenye maisha halisi ni tofauti kabisa.
Yaani imefikia point watu hawajikubali jinsi walivyo mpaka wajichubue...
Naomba kujuzwa perfume hio inayoweza kukaa katika nguo hata miezi au mwaka haitoki mm ni mvivu kununua mara kwa mara
perfume ambayo ukipakaa anaisikia wa pembeni tu
Heri ya mwaka mpya 2017.
Nimekuwa najiuliza sana kwanini wanaume wengi hupenda kunyoa ndevu zote kidevuni?
Binafsi nilipokuwa mdogo nilisubiri muda mrefu ili niote ndevu,na mara baada ya...
Habari zenu JF MEMBERS,
Mimi ni kijana wa kiume niliye na mwili wa kawaida sana! Sasa nimepanga kuingia gym ili nipate kuwa na reasonable body structure, kupunguza mafuta mwilini na kujenga afya...
Habari wana JF,
Napenda sana kuwa model, najua humu kuna watu mbali mbali wanaweza nisaidia ili kutimiza ndoto yang ya kuwa model.
Tafadhali kwa yyte yule mwenye uhitaji wa model either mwenye...
Habari wanajamvi hususani kona hii ya urembo, mitindo na utanashati,
Msaada jamani uso wangu unajaa sana mafuta. Mfano naweza nisipake chochote kile ila dk 2 tu unajaa mafuta tena kama jua...
Kujiandaa kwa ujio wa mtoto ni kuna changamoto zake. Mtoto ni vema akawa na chumba chake ili kumjengea hali ya kujitegemea akiwa angali mdogo na pia kurahisisha uhifadhi wa vitu vyake bila...
Habari wana JF,
Naomba mnisaidie nywele zangu ni nyepesi sana na zinakatika sana ninapochana hata dawa nikiweka lazima upande mmoja igome.
Naombeni msaada nitumie dawa gani ya nywele na mafuta?
Najua zipo rangi za midomo nyingi na za kuvutia zaidi lakini Rangi hizi ndizo zinanivutia sana na ndizo rangi za midomo za kima dada/mama zilizonivutia zaidi kwa mwaka 2016.
Nikikutana na...
Habari za majukumu wana jf,
Leo Alfajiri, muda wa saa 11 hivi nikiwa ndani ya Hiece nikiwahi majukumu ya kuifukuza shilingi. Kuna kituo kimoja alipanda dada mmoja, alikuwa mrembo si haba...
Mwaendeleaje na hali?
Kuna vipele vigumu na wakati mwingine huwa vidogo vidogo huota pembeni mwa lips au kuzunguka lips na ukijaribu kuvi binya huwa na maumivu makali kidogo.
Kuna treatment/...
Napenda kuvaa vizuri na kuwa smart kuvaa ni sanaa na damu ya mtu kama hauna damu ya kupenda kuvaa siku zote kuvaa itakuwa ni ziada sio kitu muhimu kwako.. Utatafuta excuse zote ila ukweli ni...
Wadau
Nahitaji kujua salon nzuri ambazo wananyoa nywele na kuzistyle vizuri kwa hapa dar. Na pia bei zao zipoje.
Nataka style kama hizi tuuu [emoji116]
Vinyozi wengi mnaonuka midomo mnakera sana wateja wenu jitahidini kuwa wasafi wa kinwa hata mnashindwa kununua kapipi kifua ka mia au PK kuchangamsha mdomo kwelih ata kama hali ni ngumu sio ivyo...
Mambo ya lipstick.. Mikoba,mikoba ..mascaras brushes ni product ya kitimoto.. Je uislam unasemaje juu ya hili..
Ni sawa kwa mbibie kupaka lip shine inyotokana na nguruwe..
Habari wanaJF,
Kwa sababu ya kuvaa viatu virefu vya kutumbukiza muda mrefu vidole vyangu vimepata sugu. Kuvaa viatu vya wazi mbele sipendi sababu ninavaa no 40 so vidole huwa vinatokeza sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.