Topd
Member
- Aug 22, 2016
- 10
- 4
Habari wanajamvi hususani kona hii ya urembo, mitindo na utanashati,
Msaada jamani uso wangu unajaa sana mafuta. Mfano naweza nisipake chochote kile ila dk 2 tu unajaa mafuta tena kama jua likiniangaza kidogo tu. Utafikiri nimejipaka kopo zima la babycare.
Naomba ushauri nitumie nini ili kupunguza hii hali.
Asanteni!