Mwanaume kuvaa boxer za mpira zinazobana ni uchafu

jerry joshy

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
402
504
Hakuna boxer zinazohifadhi uchafu kama za mpira yaanI huwa zina uvundo saana ni bora mtu ununue cotton kuliko hizo otherwise utaishia kunuka.

Wakina dada muwe makini mtalamba uchafu mpaka mpate fangasi halafu mbaya zaidi ukute mtu mwenyewe hajui kubadili boxer mpaka week ipite hapo ni balaa bora uvaa loose boxer kuliko hayo mamipira kwanza yanaharibu maumbile
 
yaelekea wewe ni msafi maaana ulisema yule wa mziki wa Darasa ni mchafu habadilishi nguo!
 
Kwa Taarifa yako, huko kwenye boksa mbali sana, mimi zangu ni zile VIP kabisa tena zimeandikwa TMK wanaume, ikichakaa huwa inakatika na kupanda hadi kifuani! Ila nina wagegeda sana tu, hata sasa nipo guest hapa Sewa Bar!
Wewe piga kelele huko, naona unatafuta ubalozi wa boksa za Cotton pana kama pazia la sinema, sisi tunatafuta pesa!
 
Hivi bado mnavaa tu, mi nilisha sahau kuvaa hivi vitu zamanii ileeee,

Naachia kitu ining'inie yenyewe huko ndani
 
Back
Top Bottom