Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,155
- 13,377
Heri ya mwaka mpya 2017.
Nimekuwa najiuliza sana kwanini wanaume wengi hupenda kunyoa ndevu zote kidevuni?
Binafsi nilipokuwa mdogo nilisubiri muda mrefu ili niote ndevu,na mara baada ya kuota,huwa sitaki kabisa kunyoa zote maana naona nitakuwa naenda kinyume na aliyenipa ndevu kwa umri husika na kuamini kuwa nitazitunza kwa kuzikata kiasi na kuacha ndevu kama pambo la kidevu.
Nimekuwa nashangaa mwanaume kunyoa ndevu zote mara chache huhisi labda sheria za kazi zao au labda walipenda wazaliwe wanawake,kwa ufupi huwa nakosa majibu.
Mwenye majibu,naomba anisaidie.