Vitu vya kuzingatia unapoenda gym ili kupata matokeo mazuri

jakwadoda

Member
Dec 8, 2016
57
67
Habari zenu JF MEMBERS,

Mimi ni kijana wa kiume niliye na mwili wa kawaida sana! Sasa nimepanga kuingia gym ili nipate kuwa na reasonable body structure, kupunguza mafuta mwilini na kujenga afya nzuri ukizingatia mazoezi ni siri ya kuwa na afya njema.

Nimejaribu kudadisi kwa baadhi wa watu walioingia gym, wapo wanaodai gym imewasaidia na wapo walioiponda pia ila ushauri mkubwa nilioupata kutoka kwa maelezo yao ni kwamba inabd niulize na kufanya utafiti wa kina ili kupata matokeo mazuri unapoenda gym.

So naleta uzi huu kwenu wanajukwaa kwa mawazo jenzi na fikra yakinifu juu ya mambo ya kuzingatia kabla ya kuanza, unapokuwa na unapotoka ili lengo liwe ni kupata matokeo mazuri.

KARIBUNI KWA USHAURI WAKUU
 
Hats Mimi niliambiwa ukienda gym physiotherapist (kama yupo) anakuuliza unakuja kwa madhumuni gan,, i,e kupunguza unene, kumaintain, n.k.
Kama kuna wajuvi watujuze
 
Back
Top Bottom