Rangi za mdomo zinazonivutia zaidi kwa kinadada

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,895
19,062
4115b8ce20b953a333ebe927d9159af1.jpg
a9ca94aba23a4a7e95c2dbfb44a7460d.jpg
lip-color-purple-shade-1x1.jpg


Najua zipo rangi za midomo nyingi na za kuvutia zaidi lakini Rangi hizi ndizo zinanivutia sana na ndizo rangi za midomo za kima dada/mama zilizonivutia zaidi kwa mwaka 2016.

Nikikutana na mwanamama aliepaka hizo rangi katika midomo yake nikipata wasaa wa kumkaribia lazima nimpe hongera zake.

Kina mama mnapenda kupaka hizo rangi hongera zenu.
 

Attachments

  • purple.png
    25.7 KB · Views: 179
Mi sivutiwi na hizi rangi. Afadhali hata mwanamke awe mweupe lakini ukikuta mweusi halafu kapaka hizo rangi sioni kama zinavutia hata kidogo. Ila mi ni mpenzi wa lipshine. Nafurahia sana kuona midomo imelowa kivile maana inaleta raha fulani!
 
rangirangi za nini mimi nataka kitu OG....kwahiyo ukitaka kudendeka uanze kuimeza hyo mirangi...:D:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom