Machakoz
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 369
- 201
Habari za majukumu wana jf,
Leo Alfajiri, muda wa saa 11 hivi nikiwa ndani ya Hiece nikiwahi majukumu ya kuifukuza shilingi. Kuna kituo kimoja alipanda dada mmoja, alikuwa mrembo si haba anavutia machoni ila tatizo lilikuja baada kuonekana katoka kulala kwa mwanaume maana kila kitu ni vuluvulu kuanzia nywele, usoni ndio usiseme utadhani alikuwa kalala na mrija wa pombe.
Kumbe kila mtu ndani ya gari alikuwa akimjadili kimyakimya maana alipoteremka tu kituo cha njiani kila mtu alikuwa anamjadili kivyake. Naomba wanawake mnaolala shift mjitajidi kujipiga sopsop baada ya kumaliza majukumu ya kula tunda la mti wa uzima.