Rafiki ananuka sana kwapa akitoka jasho, je nini dawa ya kuzuia kwapa lisinuke?

Huo ni ugonjwa wa kikwapa.. Its a genetical disease na tiba ni kuoga sana na kujipiga ma spray na unyunyu ili kunukia...
 
Hiyo itakuwa ni wewe... Pole sana...

Nyoa vizuri na mara kwa mara nywele za kwapa.. Pendelea kutumua Anti- perspirant...
 
Tatizo hilo husababishwa na mlundikano wa seli zilizokufa kuziba viriba hewa na kutoa harufu mbaya. 1.Hakikisha unakunywa maji mengi si pale unapohic kiu pekee 2.Fanyia kwapa usafi(kunyoa) 3.Paka limao asub, mch na jioni. 4.Oga na kufuta kwapa pale unahisi linavuja jasho 5.Au ogesha kwapa na maji yaliyolala ya ukoko wa ugali. NB:Kutumia marashi yoyote ni kosa kwani kwapa litatengeneza usugu na siku marashi yakikosa itakula kwako.
 
Back
Top Bottom