Msaada: Napenda sana kuwa fashion model

cute mimi22

Member
Nov 13, 2016
46
95
Habari wana JF,

Napenda sana kuwa model, najua humu kuna watu mbali mbali wanaweza nisaidia ili kutimiza ndoto yang ya kuwa model.

Tafadhali kwa yyte yule mwenye uhitaji wa model either mwenye duka la nguo or anaeshona au yeyote yule mwenye uhitaji wa model nipo tayari kujitolea bure kwa ajili ya photoshoot ili niweze kutimiza ndoto yangu mimi ni binti wa miaka 21 mkazi wa Dar.

Aliye tayari kunisaidia naomba anicheki pm
 
Puppy

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
2,841
2,000
Daaah 21Hero? Wataharibu mapema sana.
Kiasi naijua hii Industry, Kiasi na-deal nayo on a daily basis

Usijiweke Bure hivyo utatumika.
Tafuta hela kidogo lipia photoshoot utengeze portofolio, ndio itakayokusemea kama unaweza. Tofauti na hapo hakuna cameraman atake kukataa na wote lengo ni lile lile common kupita hapo kati kwanza.

MASWALI YA KUJIULIZA:
1. Unataka kuwa model wa aina gani? (Wa promosheni za Heinken au Mavazi ya Kina Kadinda)

2. Gigs za Aina gani unataka? (Fashion Exhibitions au Music Videos kama kina Amber Lulu)

3. Independent au Kuwa Chini ya kina Millen?

Kwa umri wako mdogo usipojiuliza na kujipanga vizuri na washauri wazuri mapema unaweza kuishia kuwa Escort tu na Chakula ya Wazee kwa Gigs ndogo ndogo tu.
Tofauti na hapo ukijipanga sawa unaweza ukawa role model wa vizazi na vizazi.

Ni rahisi sana na ni ngumu sana. Start Small kid. Deal na unaowajua na kuwaamini.

Kila la Kheri.
 
Asante sana kwa ushauri wako
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
51,036
2,000
Habari wana JF,

Napenda sana kuwa model, najua humu kuna watu mbali mbali wanaweza nisaidia ili kutimiza ndoto yang ya kuwa model.

Tafadhali kwa yyte yule mwenye uhitaji wa model either mwenye duka la nguo or anaeshona au yeyote yule mwenye uhitaji wa model nipo tayari kujitolea bure kwa ajili ya photoshoot ili niweze kutimiza ndoto yangu mimi ni binti wa miaka 21 mkazi wa Dar.

Aliye tayari kunisaidia naomba anicheki pm
Nina modeling agency company, ni PM tueasiliane
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom