Vinyozi pigeni miswaki. Wengi wenu mnanuka midomo

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,943
18,665
Vinyozi wengi mnaonuka midomo mnakera sana wateja wenu jitahidini kuwa wasafi wa kinwa hata mnashindwa kununua kapipi kifua ka mia au PK kuchangamsha mdomo kwelih ata kama hali ni ngumu sio ivyo bhna.

Nimeamua kufunguka leo maana nimechoka kuwa nahama salooni kila nikitaka kunyoa tena kisa kinyozi aliyeninyoa mara ya mwisho alikuwa ananuka mdomo.
 
Mi ndio nimezeeka nashindwa kuelewa lugha ya picha? Au mada haipo sehemu sahihi?!
 
>>>>>>Aiseee na hawa makonda wanaongoza kwa kunuka mdomo na kwapa.....
 
Nunua mashine tu unanyoa nyumbani na familia yako, nina mwaka sijafika saloon.
 
Wewe Unatudhalilisha Vinyozi......!!!!Tutake Radhi

Ulitakiwa kudeal na huyo kinyozi wako Wa Uswahilini Ili Ajirekebishe.
Mtu mwenyewe ukinyolewa unalialia Unatoa madusco Nusu
 
Kunyoa buku6 wewe unalipa Mia9 minywele yako ina mba michafu hujaoga af unataka unyolewe na Msafi

Una hela wewe!?!?!
 
Ni ushauri mzuri, lakini mkuu ukienda kwa kinyozi kwani unaenda kupata French kiss? Nyolewa urudi kwako ya kinyozi mwachie kinyozi.
 
Ni ushauri mzuri, lakini mkuu ukienda kwa kinyozi kwani unaenda kupata French kiss? Nyolewa urudi kwako ya kinyozi mwachie kinyozi.
Sio ivyo. Unajua kinyozi anapokuwa anakunyoa mara nyingi anakuwa karibu sana na wewe. Sasa pale anapofunua kinwa na kukuta hewa ni chafu inaboa sana.
 
Wewe Unatudhalilisha Vinyozi......!!!!Tutake Radhi

Ulitakiwa kudeal na huyo kinyozi wako Wa Uswahilini Ili Ajirekebishe.
Mtu mwenyewe ukinyolewa unalialia Unatoa madusco Nusu
Sijaanza kunyoa leo. Mimi husafiri mara kwa mara so huwa natumia salooni tofauti. Na wengi wenu mnatoa harufu.
 
Back
Top Bottom