kajojo
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 2,946
- 5,470
Nashindwa kuelewa either ni kutaka kuonekana wazuri mbele ya jamii au nini. Wakati kwenye maisha halisi ni tofauti kabisa.
Yaani imefikia point watu hawajikubali jinsi walivyo mpaka wajichubue wengine kuji edit ndo waweke picha zao kwenye mitandao.
Ijulikane kwamba tunaishi kwenye jamii ya watu wale wale tunao watumia picha za mtandao sasa siku mkikumbuna laivu inakua tafrani.