Mshukuru muumba kwa vile jinsi alivyokuleta duniani.
Usilazimishe lami ifanane na ugali.
Hiki ndiyo kitachachokutokea kama ukilazimisha lami ifanane na ugali
Just stay natural.
Naukubali mwili wangu jinsi ulivyo ila naomba ushauri ni jinsi gani naweza kuongeza muonekano wangu maana mwili wangu mimi ni mwembamba kiasi kwamba nikivaa masharti nahisi hayanikai vizuri, wale...
Habari zenu wana jf,
Bila kuwachosha na salamu nyingi naomba niende moja kwa moja kwenye swala langu, Siku si nyingi zijazo nami naenda ukweni kwa utambulisho rasmi (Si kutoa mahari) kwa wenzetu...
Naombeni wadada tushee idea ya stlyle nzuri za kusuka msimu huu wa sikukuu.
Maweaving naona kama yanachosha pia joto sana rasta nazo vilevile.
Tutoke vipi? Naomba tupeane ushauri hapa
Jamani wanaume hivi huwa hamuoni aibu kutembea kifua wazi na manywele kifuani kama msitu?,hivi yenyewe huwa hayanyolewi?
Unamkuta mkaka yupo busy comfortable kifua wazi na minywele yake kifuani...
Wapendwa,
Heri ya mwaka mpya!
Naomba nisaidieni mwenzenu,
Nimehangaika sana kutafuta Hair remover, ile dawa ya kuondolea nywele na vinyweleo mwilini, unapaka sehemu unayotaka kuondoa...
Wadau,
Natafuta darasa la mitindo (fashion design) na hair styles and design la muda mfupi kama mwezi au miezi mitatu.
Mwenye kujua naomba anipe direction na contact zao kama pia anazo darasa...
walianza dada zetu kufanya operation za makalio, ikiaminika uzuri sio sura uzuri makalio. sasa na akinababa limehamia kwetu tumeona nondo kunyanyua zimekua nzito bora operation ya vifua Bandia...
Naskiliza EA Radio muda huu. Zembwela na wenzake studio wanajadili kushamiri kwa mahusiano holela miongoni mwa vijana, pia wanazungumzia tabia ya vijana kupenda kulelewa na majimama.
Mgeni...
Miaka ya tisini hadi 2000 mwanzoni mashindano ya miss Bantu yalishika kazi sana, lakini 'sasa naona hakuna kabisa shindano hilo sijui wadau wamepotelea wapi.
Nilikua naenjoy sana kuona...
Habari zenu,
Nimejaribu kufanya utafiti kidogo nikagundua asilimia kubwa ya wanaume wanaovaa SAA za mkononi huwa hazisomi majira. Sasa hii inaumuhimu gani wa kuvaa kitu ukaonekana mtanashati...
Habarin Wakuu
Nahitaji msaada kwa yeyote alioko mwanza Mm ni mgeni kwenye maswala ya kuchora tattoo naomba msaada kwa yeyote anaye fahamu wanapo chorea Anipe ramani nataka kuchora jina la mwanangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.