Msaada: Nywele zangu nyepesi sana na hazikolei dawa

cute mimi22

Member
Nov 13, 2016
46
19
Habari wana JF,

Naomba mnisaidie nywele zangu ni nyepesi sana na zinakatika sana ninapochana hata dawa nikiweka lazima upande mmoja igome.

Naombeni msaada nitumie dawa gani ya nywele na mafuta?
 
Tumia mafuta ya nazi origino...
Tafuta wenye uweledi na mambo ya nywele wakuelimishe dawa nzuri ya kutumia
 
Chukua kitunguu maji saga vizuri upate kitu kama juisi changanya na mafuta ya Zaituni(olive) au mafuta ya nazi orijino kwa uwiano utakaoona unafaa kisha tumia kupaka nywele zako!
Vingnevyo muone mtaalam wa masuala hayo...
Source: threads za JF.
 
Asante
 
Back
Top Bottom