Salon za short hair kwa wadada

lynne

JF-Expert Member
Oct 16, 2014
897
1,181
Wadau
Nahitaji kujua salon nzuri ambazo wananyoa nywele na kuzistyle vizuri kwa hapa dar. Na pia bei zao zipoje.
Nataka style kama hizi tuuu
1477138730430.jpg
1477138740635.jpg
 
style ya kunyoa inategemeana na kichwa chako wewe google mitindo angalia kulingana na kichwa chako uridhike nao then kamuonyeshe kinyozi wako maana anaweza kukunyoa style kwake nzuri wewe ukaona kituko
 
Unapatikana wapi??...kama dar na uko tbata basi fika tbt kwa bib kuna salon pale wako vizur...na hayo mawimbi ni wave!
 
urembo wa nywele kwa binadamu unatokana na kichwa chako
kuna kichwa mviringo, kichwa box, kichwa mjate, kichwa nazi, kichwa apple
ni bora mpelekee kinyozi yeyote hata wa kiume watakunyoa utakavyo ndipo uende saloon za kike kuweka weaving
 
kichwa mjate ndo kipoje mkuu?
 
kichwa mjate ndo kipoje mkuu?
ooh sorry unajua tena visimu vya smartphone vya mchina unaandike nayo Emoji inasahihisha
Kichwa mkate hichi kichwa unaweza nyoa staili ya Punk (kisahani / mbwa kachoka masikio ya mbwa yalivyolala) wengine huita kibwenzi
km kichwa nazi /carrot ukinyoa punk ni kichekesho
sina picha zake lkn fika saloon wataangalia mpaka na paji na kisogo /kichogo
 
Mwenyewe nimezipenda ndo nataman kupata salon wanieke hivo

Nenda BM saloon, moja iko Kinondoni nyingine Sinza.. mie wakati
ndio nanyoa nilienda huko, nikawa nazionea huruma nywele zangu
ila wao wanakuhandle fresh..... pia kuna saloon moja iko hapo Victoria
barabarani tu pale... nimeisahau jina wako vizuri.. kama we ni mdada utatamani
wasimalize kukunyoa lols....

Karibu team natural/rough dreads
 
Nenda saluni za kawaida za wanaume

kuna moja nilienda nikwamwambia nipunguze nywele kidogo
iko Ubungo nilikua tayari nina short hair nikawa nataka kupunguza kidogo
Mungu wangu alichonifanya nilitamani kupasuka... na unajua bora
mtu akosee kukusuka unaweza kufumua sio kukunyoa nywele
 
Nenda BM saloon, moja iko Kinondoni nyingine Sinza.. mie wakati
ndio nanyoa nilienda huko, nikawa nazionea huruma nywele zangu
ila wao wanakuhandle fresh..... pia kuna saloon moja iko hapo Victoria
barabarani tu pale... nimeisahau jina wako vizuri.. kama we ni mdada utatamani
wasimalize kukunyoa lols....

Karibu team natural/rough dreads
Asante dear
 
Back
Top Bottom