Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Curls, Coils and Kinks made a few jaw - dropping appearances at the Show. Models of color ditched extensions and wore natural hair. Maria Borges from Angola repped her home Country Angola's...
10 Reactions
138 Replies
19K Views
Habari za mihangaiko ya siku nzima wakuu Hoja yangu haina umuhimu Sana lakini nahitaji msaada. Kwanza napenda kuwashukuru sana kwa kupoteza muda wenu na kuchangia mada yangu. Leo ndio siku ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mambo zenu JF, Napenda kuwashukuru members wote walionitia moyo katika kipindi kigumu nilichokua napitia. Nawashukuru kwa michango yenu ya kimawazo, sina cha kuwalipa nawaombea tu kwa Mungu...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Unakuta dada msafi na ananukia. Akitoa simu unaweza chefukwa. Case ya kulinda simu chafuu, uchafu wa mafuta na jasho umeweka weusi. Hii kitu inawapotezea sana mvuto ila nimeona fursa. Nitaanzisha...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
ni wapi utakua kesho kuanza wikend yako kusheherekea uhuru wa nchi yako je hujui wapi pa kuwa kesho??niulize ni katika jengo la LAPF ambapo utabadiri taswira ya utaftaji wako wa pesa jiunge na...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Habarini wandugu, Naomba wataalamu wa mambo ya mavazi wanipe elimu kuhusu hili jambo katika uvaaji wa suti zikiwa na label mikononi. Sijajua ni lipi sahihi kati ya haya; Unaponunua suti hizi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Mrembo Eduarda Ferais ( 19 ) amesema ana vutiwa sana na makalio ya mama ake mzazi na anatamani siku moja na yeye makalio yake yangekuwa na muonekano kama makalio ya mama...
1 Reactions
42 Replies
17K Views
halafu wengi huwa wanajipenda sana. hata kama masikini muda mwingi huwa wasafi na warembo.
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Waungwana mikono yangu imekuwa ikiota sugu na kuwa migumu yaani imekomaa siyo kawaida wakati nafanya kazi za kawaida tu ambazo haziwezi kupelekea mikono yangu kuwa hivi. Naombeni ushauri nitumie...
0 Reactions
32 Replies
17K Views
Suti ni vazi la heshima sana na linamfanya mtu kuonekana maridadi sana lakini ukikosea kuvaa suti waweza kuwa kituko. A traditional suit ya mwanaume inajumuisha shati, koti, tai na suruali...
28 Reactions
63 Replies
19K Views
Maana nimeshawasikia watu kadhaa wakisema daah, yule binti ana sepu nzuri ila tatizo ndio ivo tena ana sura ya baba!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Swagga nzuri kwa warembo Unawevalia na jeans.ama sket ama short Na ukapendeza vizuri sana Wahi utoe oda yak kwa whaspa n 0656436662 ama kupiga pia karibni Instagram Starson_85_jr
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huu mchezo umekithiri sasa wanawake na wadada anavaa dera au gauni laini refu mpaka chini kiasi kwamba mpaka anakua analinyanyua na mkono kidogo lakini cha kushangaza nguo hizo unakuta zinaonyesha...
8 Reactions
69 Replies
21K Views
Wakuu, Hivi kwanini wanawake wa kiafrika wanapenda sana kujichubua wawe weupe kama wazungu? Je tatizo nini hapa? Hawajihamini,maendeleo au ulimbukeni?
0 Reactions
56 Replies
11K Views
Jamani naomba mnisaidie ni mafuta gani yatumike kwa nywele natural za kiafrika. Ni nyingi ila ni kavu sana. Asante.
2 Reactions
15 Replies
8K Views
Wadau naomba melezo kidogo maana nashindwa kuelewa. Hii ni ile style miguu inaangaliana kwenye vidole gumba na visigino vinaachana mbali. Binafsi naona wanatembea vibaya sana na haina mvuto...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Wadau mliopo Dar naomba Masada Ni wapi naweza kupata duka linalouza Jeans za kiume za ukweli maana Napata shida Sana ninapotafuta Jeans..hizi za mtumba Ni Za kubahatisha Sana. Nimepita maduka Kama...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
This is where it all goes down. Where that Ngabu body is sculpted. LA Fitness baby It goes down in the gym..... Goals baby....goals! Angled leg press....massive weights! Guns...
5 Reactions
143 Replies
15K Views
Wana body Nisiwachoshe kivile, Habari zenu ? Mazee kuna hili swala mimi kama silielewi flan tukiwa tunaingia makazin asubuhi wadada wote wanapendeza mnoooo, na tukiwa tunatoka pia wanashine...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Back
Top Bottom