Kama heading inavyojieleza wapendwa nahitaji ushauri wa lotion nzuri ya kupaka ambayo haina cream.
Nahitaji kuwa soft zaidi ngozi yangu sio ya mafuta na wala sio kavu haina chunusi kwa hiyo ni...
Jamani wadada msaidieni mwenzenu huku michirizi mikononi inamtoka kwa kasi sana. Kama kuna tiba au mafuta ya kupaka. Na weupe alio nao ndo balaa. Ni mikononi tu wala nyuma ya magoti hana hata...
Jamani Jamani naomba mnishauri nifanyeje mwenzenu ni wiki mbili tu zimepita tangu niritachi nywele zangu kwa dawa ya radiant.
Nilifululiza kusuka kama miezi mitatu hivi Sa majuzi nilipofumua...
Looking for a perfect well crafted customer suit's for your wedding????? or of An Event???
Worry not!!!!!!
2017 is almost here, we're now receiving and accepting 2017 Booking.
"We take our...
Orodha ni ndefu lakini si vibaya mkaongezea, ila mie naanza na hawa hapa!
1a. Ummy Mwalimu
1b. Angela Kairuki
2a. Mary Nagu
2b. Jenister Mhagama
3. Zhakia Meghji
4. Shamsa Mwangunga
5. Salome...
Jamani nisaidieni(boy) na tatizo la uso kuwa na mafuta mengi unaopelekea kuwa na chunus zisizo isha je nitumie mafuta gani ama njia gani ili yaishe au kumaliza chunusi mana nimetumia mafuta mengi...
International Fashion Academy is inviting applications for Fully-funded Scholarships. Scholarships are available for pursuing the undergraduate and postgraduate program. More info ~> IFA Paris...
Habari zenu wapenda urembo,
Nimekutana na Matangazo kuhusu haya mafuta katika mitandao ya kijamii ikionesha watumiaji wa mafuta haya wakiwa na nywele ndefu kupita kiasi,
Je ni kweli, naomba...
SABABU ZA KUFELI KWA MATIBABU YA CHUNUSI NA MAMBO YA KUFANYA ILI KUZITIBU KABISA
Umewahi kutumia vipodozi kutibu chunusi au tatizo jingine na kukosa matokeo unayoyataka kisha ukabadilisha na...
Umewahi kutumia vipodozi kutibu chunusi au tatizo jingine na kukosa matokeo unayoyataka kisha ukabadilisha na kuanza kutumia vya aina nyingine? Hujawahi kumuona mtu mwingine akifanya hivyo?
Bila...
The Sunny Art Award is an international art prize hosted by Sunny Art Centre, London. This fine art competition is a global platform giving an opportunity to any emerging and established artist to...
Hivi ni kwanini hawa jamaa ni ndugu, umasikini na uchafu yaani mazingira ya wanapoishi machafu, mavazi wanayovaa machafu na hata muonekano wa mwili ni mchafu tu kwanini iko hivi.
Ina maana huwezi...
Kuna T-shirts zipo Hapa Tanzania zimeanza kuingia sokoni za Kupinga Kristo.
Kanye Wst Msanii wa Marekani ameamua kuanzisha dini yake na kujiita YESU wa dini yake.
Alichokifanya ni kubadili neno...
Kwa wale ambao nywele zao zinakatika au unataka kuimarisha tu nywele. Chukua kiini cha yai changanya na asali. Osha nywele zako kisha paka hii mask, kaa nao kwa muda wa dakika 30 hadi 40 kisha...
Curls, Coils and Kinks made a few jaw - dropping appearances at the Show. Models of color ditched extensions and wore natural hair.
Maria Borges from Angola repped her home Country Angola's...
Habari za mihangaiko ya siku nzima wakuu Hoja yangu haina umuhimu Sana lakini nahitaji msaada.
Kwanza napenda kuwashukuru sana kwa kupoteza muda wenu na kuchangia mada yangu.
Leo ndio siku ya...
Mambo zenu JF,
Napenda kuwashukuru members wote walionitia moyo katika kipindi kigumu nilichokua napitia.
Nawashukuru kwa michango yenu ya kimawazo, sina cha kuwalipa nawaombea tu kwa Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.