Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Ndani ya posti hii nimejifunza mambo mengi ya muhimu ambayo yatanisaidia sana katika kuifikia ndoto yangu ya kuwa mjasiriamalimkubwa. Inaelezea tabia ambazo wengi wetu tunazo, na hizo tabia ndizo...
5 Reactions
7 Replies
3K Views
Tunauza waleti za culture za kina dada kwa jumla na rejareja.. jumla shilingi 10,000 kuanzia pic10, na rejareja elfu 15,000 pia waweza like/kutembelea page yetu ya Free slave curio shop.. au...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba msaada kujua,,kuku wa nyama mia mbili wankula mifuko mingapi ya chakula?je na madawa garama zikoje?.pls kwa anaejua,,natanguliza shukrani
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello habari za jioni ya leo wana ndugu, Mimi ni kijana wa kitanzania...nimebahatika kupata shilling laki nne na nusu...tumsifu yesu kristo....ninapenda niweze kuzungusha biashara yenye...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Nimefanikiwa kufikisha kias cha mil 6 nahtaj kufanya biashara na kuwekeza .... I've some ideas ila naamn bila mawazo na ushauri wa watu wengne naweza ncifike mbali ..nahtaj kujifunza kujifunza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni kozi zipi mtu akisoma anaweza kujiajiri mwenyewe bila kutegemea kuajiriwa?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nchi yetu ina fursa nyingi za kuwekeza,nyingine ni rahisi na nyingine ngumu kidogo kwa sababu ya kutojua. Kuna biashara hii ya beach plots, kwa sasa inakwenda kimya kimya sana,lakini ni biashara...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
General Agro and Livestock enterprise tupo Mbeya, eneo la mbalizi kata ya nsalala. Tunatotolesha vifaranga, bei ya kutotolesha ni Tsh 450/ yai moja. Tunaanza kupokea kuanzia trey moja na...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Hello JF, Ninatafuta Farm Manager kwa ajili ya usimamizi wa mradi wa shamba ulioko Tabora Kipalapala Matankini. SIFA: Awe na Elimu ya Form Four na utaalamu ngazi ya cheti katika fani ya Kilimo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari, Nashukuru nimefika mahala sasa naona matunda ya shamba langu la mifugo... Nimefanikiwa kufuga kuku,mbuzi,ngo'mbe,kondoo na nguruwe na bata wachache. Natumia fursa hii kuomba ushauri wenu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wanaJF, naomben maon yenu kuhusiana na website hii http://masoko.byethost5.com/index.php Kiongoze nn au kipunguze nn . Asanteen, busara itumike kwenye kutoa ushauri tafadhali...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Guys, nikiagiza food processing machine ya million 13 kutoka china, yenye uzito wa kg 250, nitalipia kodi zipi, zenye thamani ya shilingi ngapi ili itoke bandalini? Pia shipping cost ya machine...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wandugu herini ya xmas na mwaka mpya. Kama mada inavyojieleza ninauza duka la nguo za watoto lenye thamani ya tsh 5.4m kwa tsh 3.5m. Duka lipo zunguni mtaa wa shabiby na ni duka pekee la watoto...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
GRACO baby stroller na feeding seat zipo kwenye hali nzuri zipo dodoma. call 0718845732
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Jabari wana JF Niko USA nataka kujua belo la mtumba wa viatu au jeans bei gani ? na je hii biashara inalipa ?
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wadau nauza bata wamebaki 14,madume yapo 6 bei 30000,na majike yapo 8 bei 25000,wameshaanz na kutaga kabisa,
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu jamvini, naomba msaada ikiwa miongoni mwetu kuna anayefahamu wapi naweza kupata aina hizi mbili za bata.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kuna upotoshaji wa kutosha katika neno ujasiriamali kwa kuwa watu awajui maana kamili ya neno ujasiriamali imepelekea kushindwa kufikisha ujumbe neno ujasiriamali ni imani katika biashara kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau, Nauza vifaa vya kupikia na kuuzia chips. Viko complete unaweza kuendelea kutumia. Majiko mawili (la kuchemshia na la kukaangia/kuchoma mishkaki), aluminium show case (size ya...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Wakuu sii siri kwamba hili jukwaa lilikuwa ni moja ya jukwaa kubwa baada ya jukwaa la siasa, kulikuwa na debeti zilizo enda shule, sasa nauliza wale wadau wako wapi? siwaoni humu tena na je ni...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom