Saloon ya kiume

MTOTO YATIMA

Senior Member
Jul 1, 2012
147
58
Natahitaji kufungua saloon ya kiume Arusha ya kawaida tu '' ECONOMY SALOON'' naomba ambaye anaweza kuniatia break down ya budget shilingi ngapi nitahitaji kuwa nazo ili saloon ifanye kazi kuanzia machine hadi kitambaa na kama wewe ni supplier itakua poa zaidi mimi nipo Arusha.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom