Biashara ya simu za mikononi

Fluconazole

Member
Jan 12, 2016
6
2
Wakuu naomba ushauri zaidi, nna Tsh 5,000,000/= nataka kufanya biashara za simu za mkononi za bei nafuu kuanzia Tsh 30,000/= hadi 60,000/=kwa kuzinunua Kariakoo na kuziuza mtaani. Aidha sanjari na hiyo ntaweka pia accessories zake. Je italipa? ufafanuzi tafadhali
 
Last edited:
Back
Top Bottom