Naombeni ushauri wana JF nataka kufanya biashara ya kuuza mchele kwa jumla kutoka mikoani kuja dar, yoyote mwenye uzoefu na biashara hii mawazo yake ni muhimu sana kwangu.
Habari wana JF,
Kheri ya mwaka mpya wana jukwaa pendwa lenye maendeleo kwa kila anayepita hapa.
Mwaka huu nimedhamiria kufungua duka/fremu la vitu vya kila aina kwa jinsi zote( ke/me), lakini...
Natahitaji kufungua saloon ya kiume Arusha ya kawaida tu '' ECONOMY SALOON'' naomba ambaye anaweza kuniatia break down ya budget shilingi ngapi nitahitaji kuwa nazo ili saloon ifanye kazi kuanzia...
Wadau napenda kuwashilikisha katika uwekezaji wa miti na kujipatia utajiri Baada ya muda mfupi....miti inapatikana Kuanzia hekari 1 hadi 300 .nk..miti hiyo ni kama vile.....
(a ) miti iliyo...
Habarin Wakuu,Mim ni mkazi wa Msoma mjini,nataka kuanza biashara ya kuku wa kienyeji niwe naleta hapa msoma mjin nakuwauzia wachuuzi,napenda kujua kwa wenyeji wa Msoma,ni vijiji Gan vya karib...
Kama unasehemu ya biashara kubwa au ndogo au rafiki yako, Jajojo natamani tufanye biashara pamoja. Tutakuletea unga wa Jajojo from 1kg, 5kg, 10kg, 25kg kwa bei ya jumla au rejareja. Napenda...
Habari wajasiriamali,kama ulikuwa unampango wa kuwafanya bishara ya jumla ya vinywaji (bia) na huna creti za kutosha,sasa waweza kuwasiliana nami kwa manunuzi ya creti hizo.
Tuwasiliane...
Habari wanaJF wote,Heri ya mwaka mpya.
Mimi ni mjasiliamali natamani kufuga kuku wa kisasa na kienyeji kwa ajili ya biashara.
Naomba ushauri au msaada wa kupata namba ya simu ya group ya...
Habari wadau..naitwa neema ni mwanamke ambaye kwa sasa nataka kijishuhulisha kwa kilimo nimebahatika kununua shamba maeneo ya kibaha ..naombeni ushauri wenu wadau je kwa huu mwezi january naweza...
Hello JF
Well over the past holiday (x-mass & new year) nilipata chance ya kuzungumza na moja ya alie kua potential figure katika nchi yetu ila baada ya kustaafu sasa anajishughulisha na biashara...
Kwa anayehitaj huduma ya malazi arusha. Ninatoa huduma ya malazi arusha maeneo ya mbauda kituo cha buchadi. Vyumba vyote ni self contained,kitanda cha kisasa cha chuma,hetal ya maji moto kila...
Karibuni Bata Mzinga wakubwa, majike wanataga na madume wanapanda, jike laki 1 dume 90. Karibuni pia kuku choatara vifaranga na mayai. KARIBUNI WOTE. 0682169798 DSM!
Habari wana JF,
Natumaini mnaendelea salama,mimi n mwanamke ambaye nimebahatika kuwa na shamba langu Kibaha sasa nilikuwa nataka kulima.
Je kwa mwezi huu wa january naweza lima zao gan? Maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.