Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wana JF, Salaam. Ninatafuta kuku wazuri wa kienyeji wa kufuga, nahitaji majike 10 na jogoo mmoja. Ninataka kwa ajili ya kufuga nyumbani, hao ndo watakuwa kama wazazi then watazaliana!! Mwenye nao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji msaada wa kujua anwani (address) ya watengenezaji wa sabuni ya Unga ya Nice One kwa maana ya mahali walipo na namna naweza kuwasiliana nao. Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MLMGods.com - Home of Today's Top MLM Business Contacts
0 Reactions
1 Replies
1K Views
tunatoa huduma za kufunga madirisha na milango ya aluminium, pia tuna fanya glass design and printing kwa mawasiliano zaidi tupigie 0653218299
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimevutiwa sana na hii kampuni. Naona watu wanapiga hela kinoma humo. Naomba kuelekezwa jinsi ya kujiunga nao. Nataka kile kitengo cha kuwa mtoa mada.
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Natafuta fundi mzuri wa laptop aina za apple(macbook) aliye dar
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kama unachangamoto unapitia ktk ufugaji na unapata shida kupata huduma/ushaur wakitaalam tuambie hio changamoto hapa nas tutakusaidia
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais Mh Magufuli akisoma bango toka kwa kina mama Arusha wakiomba awafikirie katika suala zima la kupewa mikopo kwa ajili ya ujasiriamali. Tunamwomba Mh JPM awafikirie mama zetu,dada zetu, wake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa anaehitaji vitunguu, anicheki, ni kama gunia 50 red onions vimekomaa vizuri nipo Moshi. Mawasiliano 0767525054.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii niliipata kwenye Whatsup na nimeona bora niwashirikishe na WanaJF pia. LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI 1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. 2. Kununua Mashine za kukata...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Mashine za fast food Oven ya gas , mashine ya kupondoa unga mashine za juice ya miwa , mmashine za shawarma nione kwa kamkumbe@gmail.com
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ukiitaj piga no 0712451923
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari za majukumu ya kila siku. Naombeni kufahamu mkoa wa dodoma katika sehemu hizi 1. kilimo. Mazao gani yanalimwa mkoa huu. Ingekuwa vema utaje na wilaya linapolimwa zao hilo. Wateja wa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Kuna dada mmoja yupo kijijini anadai kadunduliza wee kafanikiwa kupata kiasi cha laki tatu (300,000). Anataka kwenda Dar akatafute biashara afanye ila hadi sasa hajajua ni...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hizi nyimbo za kap John Komba naweza kuzipata kwenye website gani ?.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Karibu wadau tunasambaza ubuyu wa zanzibar jumla kwa rejareja karibuni sanaaaa. Whatsap/call/sms 0712177449
1 Reactions
3 Replies
2K Views
natafuta MOTHER BOARD YA HP ENVY M6 SILVER. PLZ
0 Reactions
1 Replies
919 Views
Habarini wana jamvi , Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naomba kusaidiwa kimawazo. Nilienda kwa ndugu yangu kumuomba anikopeshe fedha kwa ajili ya mtaji lakini kinyume na matarajio yangu, ndugu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
SIRI YA MAFANIKIO YA KUWA TAJIRI. Hii ni siri ambayo nimekuwa nikiitumia katika maisha yangu binafsi na wengine wengi waliofanikiwa huitumia pia na imewasidia sana kufikia malengo makubwa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Msaada wenu waungwana, nikiwa hapa Dar naweza kuuza wapi madini km Almasi, dhahabu n.k naomba msaada wenu tafadhali kwani ni zaidi ya mwezi sasa sijajua nikauzie wapi mzigo wapu
1 Reactions
35 Replies
18K Views
Back
Top Bottom