Project: Kusafirisha mchele kutoka mikoani kuja Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Project: Kusafirisha mchele kutoka mikoani kuja Dar

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by RECYCLER, Feb 21, 2012.

 1. R

  RECYCLER Senior Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naombeni ushauri wana JF nataka kufanya biashara ya kuuza mchele kwa jumla kutoka mikoani kuja dar, yoyote mwenye uzoefu na biashara hii mawazo yake ni muhimu sana kwangu.
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiyo Biashara ni nzuri sana,
  Ila katika hali na dunia ya sasa ni bora ukafanya biashara ya ku ad value yaani huo mchele wako unatakiwa kuuongezea thamani kabla ya kuuza, make bila kuuongezea thamani itakuwa ni kazi bure mkuu na ili ikulipe utakuwa unafanya usanii wa kuchanganya Mchele wa Mbeya na wa Moshi au mchele wa mbeya na mchele wa kutoka nje ya nchi hapo itakulipa ingawa sio sustainable business,

  Unacho takiwa kufanya ni kuwa na vifaa kama
  1. Offisi ya kufanyia grading and packaging

  2. Mashine ya kufanyia packaging
  [​IMG]
  Hii mashine hutumika kufungia mifuku migumu kama ile mifuko ya Viloba/Pombe na ni nzuri kwa kufanyia packaging ya vitu mbalimbali

  3. Vifungashio mbalimbali
  [​IMG]


  [​IMG]
  Hapa unaweza kutengeneza lebo yako kwenye mifuko na ukawa unauza mchele ulio fanyiwa packeging, hapa itakuwa umeongeza thamani kubwa sana katika Mchele wako, Lakini hii ya kutoa mzigo Mbeya na kuuleta Dar na kusubiri huruma ya madalali ni mambo ya kizamani sana lazima tubadilike
   
 3. R

  RECYCLER Senior Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thanks bro I will work on your advice@ KOMANDOO
   
 4. K

  Kibwangai Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo mashine inauzwa sh. ngapi na inapatikana wapi,vifungashio na kuweka lebo vinapatikana wapi na kwa bei gani@KOMANDOO
   
 5. l

  lumbagengata Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Thanks @KOMANDOO hiyo concept inatwa Uongezaji wa mnyororo wa thamani na hiyo ndio issue kwani inapanua soko zaidi na kukupa uhakika wa kupiga Super Profit na ina tengeza ajira nyingi zaidi .@RECYCLER idia yako inafanana na yangu ila mimi nimeanzia shambani yaani kwenye Uzalishaji na idia yangu tena ika-intercept na @KOMANDOO. Hasa kwasababu mitizamo inagongana waonaje twende nalo kwa kina kuliko kila mtu kivyake.,maaana jf ni kutuunganisha au! ,hata kama kuna mwingine ni vema
   
 6. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  mkuu hapo kwenye bluu sijakupata freshi,
   
 7. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #7
  Feb 28, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  1. Mkuu mashine za kufungashia zinapatika na nafanya kontact na kampuni moja ya kenya waga wanadili nazo

  2. Hata vifungashio wanatengeneza na kuhusu kulebo nazani hata Bongo kampuni za kulebo zipo kibao
  Siwezi, jua ya bei ya hivyo vifungashio make viko aina tofauti tofauti na kuna hata vinavyo toka nje ya nchi kama south africa, na huko china,
   
 8. l

  lumbagengata Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  aah! ninamaanisha kama jamaa alivyoanzisha idia yake hii hapa then wewe @KOMANDOO ukaja na mbinu za kuiboresha tena zaidi ya hapo na mimi ikanigusa kwani kwani tayari mwaka nimelima kwa mtizamo baadae nije kuboresha zaidi hadi hatua za processing n.k
  -sasa hoja ikaja kama tumekutana watu wenye interest ktk eneo hili kwanini tusi-join na kufikiria kujipanga tufanye kitu yenye tija kwetu kwanza na hata kwa jamii . Unajua mnapokutana watu tofauti wenye interest moja inaweza kuwa na impact nzuri.,ndio namaanisha hapo sijui nimesomeka?
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Iyo concept ya kuad value nimeipenda sana!
  Nina shamba langu la miembe badala ya kuuza maembe nataka kuwa nauza packed juices!
   
 10. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  habari zenu wakuu,mimi nimependa hii kitu,niko katika hatua za mwisho za kufungua duka langu la vitu mbalimbali,lkn nitadili na vyakula zaidi,nadhani tukijadili vizuri tunaweza tengeneza kitu cha maana hapa.
   
 11. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Ya mkuu hii ya kulima na kuvuna na kwenda kuuza haina maana yoyote ile, tunabakia kuwafaidisha wakina Azam juice tu,
  Unavyo ongeza thamani katika mazao yako inakuwa umefanya kitu cha maanza sana
  MFANO:

  1. Unalima mahindi- Kuwa na mashine kabisa ya kukuoboa na kusaga na kupaki, hapa utauza unga na utauza pumba zako

  2. unalima alzeti- Kamua mafuta so unauza mafuta na mashudu,

  3. Unalima maharage- Kuwa na mashinde ya kupaki so unaya grade na kuyapaki mwenyewe

  4. Unafuga ng'ombe wa maziwa- Jitahidi kuwa na hata mtambo mdogo wa kuprocess so unakuwa unauza maziwa na product zake

  5. Kuku wa nyama- Jaribu nao kupaki kabisa katika rang tofauti na kuwauzia

  KWA KIFUPI TUNAPO ONGEZA THAMANI KWENYE MAZAO YETU HATA BEI NAYO INAONGEZEKA, LAKINI UKIUZA KAMA ILIVYO UNAKUWA HUJAFADIKA KABISA.

  Chukulia mfano wa ng'ombe wa nyama.

  1. Ng'ombe anaweza to vifuatvyo
  - Ngozi'
  - Mifupa
  - Kwato
  - Pembe
  - Nyama
  - Damu
  - makia wake ni pesa
  Ila ukiuza ng,ombe mzima unakuwa umevikosa hivi vyote, ila ukiprocess mwenyewe kwa ngombe mmoja unaweza pata hadi milion 2 wakati ukimuuza mzima ni laki 7 hadi 9
   
 12. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  ya nime kusoma mkuu, ok usijali
   
 13. l

  lumbagengata Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  pamoja sana ,tujipange vema!
   
 14. l

  lumbagengata Member

  #14
  Feb 29, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  safi sana mkuu jiandae kuongeza thamani kwani hapo na soko utalimudu hakuna cha kufulika soko wala nini.Aisee hv ekari moja inachukua miche mingapi? na kwenye mavuno mti moja unawezo wa kutoa wastani wa matunda mangapi kwa msimu mmoja?
   
 15. serio

  serio JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2016
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  Good idea,.. sijui wangapi wameifanyia kazi..
   
 16. Innobwoy

  Innobwoy JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2016
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 980
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 60
  Hiyo machine sh ngapi?
   
 17. geofreyngaga

  geofreyngaga JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2016
  Joined: Sep 7, 2014
  Messages: 383
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 60
  Jaribu Ku Google ingia alibaba nadhan zinaitwa sachet filling machine utazikuta huko kibao.
   
 18. divisiblebyzero

  divisiblebyzero JF-Expert Member

  #18
  Jan 9, 2016
  Joined: Jul 3, 2015
  Messages: 579
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 60
  Hakuna machine ya kuchambua mchele na mawe il uwe super kwajir ya package. Nimependa hiyo idea kwakwel
   
 19. itv

  itv JF-Expert Member

  #19
  Jan 10, 2016
  Joined: Oct 26, 2015
  Messages: 335
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Guuuud
   
 20. G

  Gojaga Nize JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2016
  Joined: Jul 1, 2015
  Messages: 2,744
  Likes Received: 1,320
  Trophy Points: 280
  Good news
   
Loading...