Kwa mtaji huu wa mil 1.5, je unaweza kunisaidia?

partnership ina changamoto zakw ndugu,
the best business ni ile unayoisimamia mwenyewe,
fikiria anakwambia mchele ananunua kwa shilingi 200000 kwa gunia hivyo faida per kg anapata shilingi 200,
kumbe uhalisia mchele ananunua 100000 na anapata faida ya 500 per kg,
hauoni kama utakua unafanya kazi ya kukuza biashara ya mwenzako?
 
Ni kweli mkuu lakn Mzee kwa jinsi nilivomuona anaonekana ni mtu mzuri tu ambae anaweza kunipa ushirikiano mzuri.Amekwisha kuniambia karbia kila ktu kuhusu biasharaka yake hyo anavyo iendesha na nikajarbu kulinganisha na ya baadhi ya watu wanaofanya biashara hyo..Nataka kufanya partnership kwasababu sitoweza kuisimamia mm kwa kua bado nina soma.Hivyo yeye kwakua tayar asha staafu na ameshakua mzoefu ataweza kuimudu vzuri
 
Back
Top Bottom