Ununuzi wa Shamba Wilayani Bagamoyo

kambitza

JF-Expert Member
Jul 24, 2013
1,942
2,000
Wanabodi naomba mnishauri.
Jana nilikuwa Kata ya Mwavi katika kijiji cha Mkenge wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.
Lengo la mimi kwenda kwenye eneo hilo ni kutaka kununua shamba la heka 15 kwaajili ya kuanza kilimo cha kisasa cha Mananasi. Nimepata eneo la ndani sana maana maeneo ya karibu tayari yana wenyewe.

Natakiwa kulipa ijumaa ijayo lakini kabla ya kulipa ningependa mnisaidie ushauri na taarifa Zozote kuhusu maeneo hayo.
 
Malila

JF-Expert Member
Dec 22, 2007
4,621

Angalia mambo yafuatayo kaka,

Kama shamba ni la familia basi baba na mama hakikisha wameshiriki kuuza kwa kusaini pamoja
Mwenyekiti wa kitongoji na majirani wanaopakana na shamba hilo lazima wawepo kwa sababu maeneo hayo sasa hivi yanavutia sana unaweza ukaonyeshwa mipaka vibaya kwa tamaa ya hela.
Kama shamba ni la ukoo, hakikisha wakuu wa ukoo wanaandika mhitasari wa wao kukubaliana kuuza.
Hakikisha mwenyekiti na VEO wote wana saini ktk hati za kijiji siku moja,
Ukiweza nenda na viongozi wa kijiji ile kamati ya ardhi mpaka shambani ili kwa pamoja mkague mipaka.

Kama kamati ya ardhi ya kijiji hawatafika wajumbe watano usikubali kununua shamba hilo. Nina uzoefu na jamaa wa mitaa hiyo, hawakawii kugeuza lugha. Na ukiweza, weka alama mara baada ya kumaliza malipo.
 
Bulesi

JF-Expert Member
May 14, 2008
8,732
2,000
Usipofuata ushauri uliopewa ma Malila hapo juu wale wadoe/wakwere wana tamaa sana ya pesa watakuliza!!!
 
kambitza

JF-Expert Member
Jul 24, 2013
1,942
2,000
Angalia mambo yafuatayo kaka,

Kama shamba ni la familia basi baba na mama hakikisha wameshiriki kuuza kwa kusaini pamoja
Mwenyekiti wa kitongoji na majirani wanaopakana na shamba hilo lazima wawepo kwa sababu maeneo hayo sasa hivi yanavutia sana unaweza ukaonyeshwa mipaka vibaya kwa tamaa ya hela.
Kama shamba ni la ukoo, hakikisha wakuu wa ukoo wanaandika mhitasari wa wao kukubaliana kuuza.
Hakikisha mwenyekiti na VEO wote wana saini ktk hati za kijiji siku moja,
Ukiweza nenda na viongozi wa kijiji ile kamati ya ardhi mpaka shambani ili kwa pamoja mkague mipaka.

Kama kamati ya ardhi ya kijiji hawatafika wajumbe watano usikubali kununua shamba hilo. Nina uzoefu na jamaa wa mitaa hiyo, hawakawii kugeuza lugha. Na ukiweza, weka alama mara baada ya kumaliza malipo.

Mkuu nakushukuru sana.. mungu akubariki
 
Mkuu Mwenyekiti wa kijiji Na VEO, huyo VEO ni nani??? Nahisi ni cheo umekiandika kwa ufupi.
 
kambitza

JF-Expert Member
Jul 24, 2013
1,942
2,000
Wana Bodi asanteni kwa ushauri. Nimepata shamba katika kijiji cha mkenge kitongoji cha Chang'ombe wilayani Bagamoyo. Najipanga kuanza mradi wa kilimo cha nanasi. kinachoendelea sasa nimewapa watu kazi ya kuweka alama kwenye mipaka. Wanachimbia kwa Zege.
 
Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,495

Mkuu huko heka 1 inapatikana kwa Tshs. ngapi??
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,597
2,000
QUOTE="kambitza, post: 82540 member: 159071"]Mkuu Mwenyekiti wa kijiji Na VEO, huyo VEO ni nani??? Nahisi ni cheo umekiandika kwa ufupi.[/QUOTE]
Ni afisa mtendaji wa kijiji.village executive officer
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom