Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari za leo wadau.. Kwanza poleni sana na misaada yenu mnayotoa katika kuelimisha na kutusaidia kwa namna moja au nyingine humu kwenye forum. Mimi nataka kuanza ufugaji wa bata maji aina ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
3 Money Habits That Separate the Rich From the Poor It all starts with the same amount of money—just a different philosophy. January 30, 2016 Here is an exciting thought! Why not work full...
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Nawasalimu wana jf!Naomba ushauri na msaada kwa anayejua biashara ya kuuza mchele na changamoto zake.Niko moro!
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Jifunze jinsi ya kujiajiri kwa kutengeneza bwawa la samaki wa mapambo. Vifaa vinategemea ukubwa wa bwawa.
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Wandugu habari za uskiku leo naomba nisisitize wakati tunaingia mwaka mwingine kwa wale wajasiriamali napenda niwahamasishe kuwa tafadhali jitahidi kuweka kumbukumbu zako za biashara vyema ili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari? Kuna jamaa kaniambia jana kuwa ukifanya kilimo cha nyanya kwa kutumia greenhouse ukifungiwa na hawa jamaa wa balton Tanzania. Wewe utakua hufanyi kazi yoyote zaidi ya kuchuma nyanya na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Gari inauzwa Mitsubish Rosa engine 4D32 inatembea ipo barabarani. 0713669533. Mnunuzi anahitajika.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari ndungu,naomba msaada wa kujua biashara ya spare za piki piki ina hitaji mtaji wa kiasi gani...,pili challenge zake ni zipi
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Natumaini Wajasirimali mnaendelea vyema humu ndani, ni long time sana, na naamini mwaka mpya huu Wajasirimali mmejipanga kupiga hatua kadhaa mbele katika kutimiza ndoto au plan.Mimi nipo bado...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
COMBINE HARVESTER INAUNZWA tunauza mashine ya kuvunia nafaka tofauti (COMBINE HARVESTER) ipo imara sana na inafaa sana kwa mazingira ya hapa kwetu inaweza kuishi mda mrefu na ni simple sana...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Jamani natafuta ubuyu wa zanzibar. Mi nipo moshi. Nipm tufanye biashara
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikiwashuhudia ndugu, jamaa na marafiki zangu wakisifia biashara ya mayai ya kware. Kwamba inalipa na pia hata mahitaji ya kuwatunza kware sio gharama kubwa, hivyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
** TEEP 2016 - 2nd ANNUAL TONY ELUMELU ENTREPRENEURSHIP PROGRAMME ROUND LAUNCHES 1ST JANUARY 2016 Dear A year ago today, we announced the Tony Elumelu Entrepreneurship Programme (TEEP) to the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna wakati tunahitaji kutumia fikra huru na zilizoerevuka, kama unafuga ng'ombe kwa ajili ya kupata maziwa na uwezo wako ni kunywa glasi mbili tu na tena si kwa kila siku kitu ambacho unaweza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana JF, Salaam. Ninatafuta kuku wazuri wa kienyeji wa kufuga, nahitaji majike 10 na jogoo mmoja. Ninataka kwa ajili ya kufuga nyumbani, hao ndo watakuwa kama wazazi then watazaliana!! Mwenye nao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji msaada wa kujua anwani (address) ya watengenezaji wa sabuni ya Unga ya Nice One kwa maana ya mahali walipo na namna naweza kuwasiliana nao. Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MLMGods.com - Home of Today's Top MLM Business Contacts
0 Reactions
1 Replies
1K Views
tunatoa huduma za kufunga madirisha na milango ya aluminium, pia tuna fanya glass design and printing kwa mawasiliano zaidi tupigie 0653218299
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimevutiwa sana na hii kampuni. Naona watu wanapiga hela kinoma humo. Naomba kuelekezwa jinsi ya kujiunga nao. Nataka kile kitengo cha kuwa mtoa mada.
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Natafuta fundi mzuri wa laptop aina za apple(macbook) aliye dar
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom